min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Usiniulize swali hilo mimi, jiuze wewe ulishawahi kufika au unaropa ukiwa huko tandale?Ulishawahi kufika huko mkuu au uko pale Tandale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiniulize swali hilo mimi, jiuze wewe ulishawahi kufika au unaropa ukiwa huko tandale?Ulishawahi kufika huko mkuu au uko pale Tandale?
walevi bana hivi mnaokotaga wapi hizi faraja...kwamba umelewa hivyo mkono wa sheria hukupati, ukijipa tumaini la moyo yakwamba mahakama itakufanyia matendo ya huruma eti ulikua umelewa, ndugu hizo pombe mnaekewa nini mkuuHakuna shida ndugu waheshimiwa kwanza nimelewa leo tuseme mimi ni mlevi, hata kisheria natambulika mkuu ...
Sasa Mkuu roho mbaya ndo default set up haswa kwa sisi wachamba wima unataka tufanyeje?? Tuanze kuigiza kwamba tunawaonea huruma ama??Ukisoma huu uzi utagundua wabongo wengi wamejawa na roho za husda, unakuta mtu anafurahia kabsa daah!
Hiyo 38,000/= unamaanisha nini?Tukitoa nchi jirani ya Marekani, China inaongoza karibu 38,000/=. Wachina hatari!
Umeshawahi kusikia "next flight", nadhani ndio kinawakumba huko. Au wakikamatwa wanakuwa detained hadi siku ya kuondoka.Kwani hawakupi muda wa kuuza mali zako?
Mkuu mimi nimezunguka dunia wewe acha tu! Nimekaa UK, Ireland, India, Botswana, Amsterdam just to mention chache!! Na bado sijataja za Afrika. Hivyo exposure yangu ni kubwa mno na nimejifunza mambo mengi sana katika kuzunguka huko.Usiniulize swali hilo mimi, jiuze wewe ulishawahi kufika au unaropa ukiwa huko tandale?
Kaka mkubwa wabongo walio toka bongo kutafuta hao ni mashujaa , kaka hata kama una pesa kiasi gani bongo hauwezi kukwepana na changamoto za kijinga kabisa.Umeshawahi kusikia "next flight", nadhani ndio kinawakumba huko. Au wakikamatwa wanakuwa detained hadi siku ya kuondoka.
It's sad, itawaondoa kwenye reli wengi tu.
Hizo nazo ni nchi? Usifananishe kiwanja na uchafu labda Uk kwa mbali , unataka kusemaje?.Mkuu mimi nimezunguka dunia wewe acha tu! Nimekaa UK, Ireland, India, Botswana, Amsterdam just to mention chache!! Na bado sijataja za Afrika. Hivyo exposure yangu ni kubwa mno na nimejifunza mambo mengi sana katika kuzunguka huko.
Nilikuwa sikujui kumbe na chat na kum! Basi umeshinda njoo uchukue zawadi hapa Tandale!Hizo nazo ni nchi? Usifananishe kiwanja na uchafu .
Kum ni kitu gani , acha kuwa na tabia za last born wapi nimeandika hivyo, wewe mbwiga?Nilikuwa sikujui kumbe na chat na kum! Basi umeshinda njoo uchukue zawadi hapa Tandale!
"Next flight" haijawahi kuwa rahisi kwa yoyote mkuu.Kaka mkubwa wabongo walio toka bongo kutafuta hao ni mashujaa , kaka hata kama una pesa kiasi gani bongo hauwezi kukwepana na changamoto za kijinga kabisa.
Wewe usiweke jina avatar tu tutakutambua 😹😹😹Labda kama sio mimi
Yaan kama una simu umeiacha chaji ghetto ukaatoka mara moja wakakudaka ndio mazima ivo.?Umeshawahi kusikia "next flight", nadhani ndio kinawakumba huko. Au wakikamatwa wanakuwa detained hadi siku ya kuondoka.
It's sad, itawaondoa kwenye reli wengi tu.
Lamo,,,,, acha zako mimi sieezi ishiwa kitu kinaitwa pesa kwanza hapa natumia za babu bado za baba na zangu hazijaguswa kabisa ,labda hala kabinti kangu kaanze ukorofi🤣.Wewe usiweke jina avatar tu tutakutambua 😹😹😹
Wee acha kujitetea bhana, ndege yenu inatua saa ngapi? 😹😹Lamo,,,,, acha zako mimi sieezi ishiwa kitu kinaitwa pesa kwanza hapa natumia za babu bado za baba na zangu hazijaguswa kabisa ,labda hala kabinti kangu kaanze ukorofi🤣.
Duh kwahiyo jamaa yuko nyuma ya nondoLipo kifungoni nilimchongea kwa mods amekula ban ndefu.
Bora iwe hivyo maana akirudi anaweza kufikia selo!Hapana Mange kimambi ni mmarekani halali kwa sasa
Wengi ni diaspora wafuasi wa chadema
Ngoja tuone, wakifika airport.Wengi ni diaspora wafuasi wa chadema
Hawana pa kushika wakirudi.Hongera sana watafutaji sidhani kama watarudi mikono mitupu kama kukaa bongo na mind set ya usimba na uyanga.