Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Waje tushirikiane kumuondoa mkoloni wa kijani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje tushirikiane kumuondoa mkoloni wa kijani.
Hongera sana watafutaji sidhani kama watarudi mikono mitupu kama kukaa bongo na mind set ya usimba na uyanga.
Yes.Dah,
Usiombe hiki kitu...
Ukishazoea states huku sijui unakuja kuanzia wapi... Wish them well.
Roho mbaya haikusaidiiSafi sana
Hii Operation ni hatari sana na Iko very intensive, Shangazi anarejea uyoKumbe ndio maana nashangaa shangazi tangu azamie huko kimnyaaa hataki shobo anajua tutampiga vizinga jana usiku napiga zangu domo Jf mashangaa inaingia sms kumbe shangazi anadai eti katukumbuka sana kumbe wamefukuzwa huko?
Masikini
Aaaah wapi, hiyo stress watakayokuja nayo hapa utawahurumia.Mkuu wakirudi tu na mindset ya US inatosha kabisa, achana na material thing's.
Nyani Ngabu na Kiranga sijui! Mange kimambi atakutana na Samia wake sasa airport!Mzee mwanakijiji amepona?
Mkuu nimekaa huko najua labda huyo mtu awe mjinga wa mwisho.Aaaah wapi, hiyo stress watakayokuja nayo hapa utawahurumia.
Hawa nafikiri wamechukua uraia wa huko kabisa.Nyani Ngabu na Kiranga sijui
Mange kimambi! Sijui akifika airport atazimiaHawa nafikiri wamechukua uraia wa huko kabisa.
😂😂Kama movie fulani napenda kweli..