KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Sasa huo ndiyo uchawi wenyewe wa mtz,yaani sisi wafuga kuku unatuona hatuna haki kabisa ya kutumia hayo malori?.huwa sielewi kagame amewaroga kwa uchawi gani ccm....malori yanayokwenda rwanda ndiyo hayo unayakuta manyoni yamepaki yanasubiri mnada wa kuku walete dar.
Yaani juzi hapa nimetoka Kaliua to Moro hapa,behewa zimefulu mpaka ile njia ya katikati ya behewa haipitiki. Reli ya kati ni muhimu sana kabla hata ya kufikiria nchi jirani.kwa nini umepoteza nguvu as if nimesema sgr ni kwa ajili ya kuwahudumia wananchi tu?...nimesema "ni kuwahudumia wananchi pia". kwamba such a direct clause umeshindwa kuelewa inamaanisha nini?
Hata hivyo jukumu la serikali ni nini? hivi unadhani kujenga sgr kwenda kigoma. kisha kaliua-mpanda ni hasara?
TRC mpaka sasa wanasurvive kwa sababu ya train na mizigo inayosafirishwa kwenda njia hizo tu.
jaribu kustudy geopolitic ya tz mkuu
Tazara ni tayari ni SGR ya kiwango kizuri tu.Huko Urusi na Ukraine wanayo na juzi mrusi kaitumia kusafirisha zana za vita.Kwa upande wa mizigo tungeboresha Tazara kuiwekea umeme na kuwa Kiwango cha SGR hali ingekuwaje?
Kulifanyika hata comparison kulinganisha hayo mambo mawili?
Kwenda Hadi Mpanda naweza kwambia kuwa ni hasara kwa sababu Bado sioni faida za kiuchumi za haraka maana still faida zinategemea effectiveness ya Bandari ya Kalema
SGR haiendi Uganda!
Inaishia Mwanza!
Kama target ni Congo , kulikuwa na haja gani kuipeleka Burundi na Rwanda tena kwa gharama kubwa sana?
Kwa nini tusingeboresha TAZARA na kufika Congo kirahisi sana?
..Matatizo ya Tazara hayapo ktk Gauge.
..Tazara kuwa Cape Gauge Rail naiona ni advantage kuliko disadvantage.
Reli inajengwa kwa mkopo! Kwa pesa za Watanzania si utalipa de I kwa miaka 300?Hatujengi reli kwa ajili ya wacongo, warundi wala warwanda, tunajijengea reli kwa ajili yetu ili watanzania wasafiri na kusafirisha mizigo yao kwa gharama nafuu na hii itapelekea pia bidhaa kushuka bei. Sasa fikiria ni pande ipi ya nchi yenye wananchi wengi ya kupewa kipaumbele?
Sasa kwa nini mkazo hauwekwi kwenye Tazara? Mji wa kibiashara ni Lubumbashi kwa nini hatuupi mkazo?Congo ni kubwa sana,
Tazara inaweza kupokea mizigo ya Lubumbashi, Burundi na Rwanda zinaweza kupokea mizigo ya Bukavu na Kisangani.
Kwahivyo kazi iendelee ya kuifungua nchi
Unajua kuwa Reli inajengwa kwa fedha za mkopo? Kwa hela zako za madafu unadhani huo mkopo utaweza kuulipa ndani ya muda?Reli zetu hatujengi kuwanufaisha majirani, tunajenga kwa manufaa yetu wenyewe kwanza, halafu majirani wanapata makombo yetu. SGR haikujengwa kwenda Rwanda, bali ilijengwa kwenda Mwanza, na Kigoma baadaye. Rwanda, Uganda, Burundi na DRC watajiunganisha kwenye SGR yetu kwa kushirikiana nasi siyo kuwa tumawajengea.
TAZARA ilijengwa mwaka 1970 kwa ajili ya kuifanya Zambia isiwe tegemezi kwa nchi za Rhodesia, Mozambique, and South Africa ambazo zilikuwa hazijapata uhuru wakati huo. Baada nchi zote tatu hizxo kupata Uhuru, Zambia imekuwa haiitegemi TAZARA sana kwani inaweza kutumia bandari za Beira, Maputo, Richards Bay na Durban. TAZARA ilikuwa ni ubia kati ya Tanzania na Zambia kwa mkopo kutoka China; kwa hiyo uamuzi wowote wa kuboresha TAZARA siyo wa serikali ya Tanzania tu, ni lazima Serikali ya Zambia ihusike pia. Uamuzi wa kuboresha reli za TRC ni wa serikali ya Tanzania tu; tutaamua kwa wakati tunaoona unatufaa
Unafahamu kuwa ni almost miezi miwili sasa Reli ya Tazara yaani Treni ya abiria na mizigo hazifanyi kazi kisa kuna sehemu imeharibika hapo Morogoro?Bado hata tazara haihitaji kujengwa kuwa SGR.
TAZARA ni cape gauge ambayo bado ni modest sana. tatizo ni siasa zetu za kiafrica.
Siasa ya ccm imeisusa tazara ambayo inafeed nchi kama zambia na southern drc na imeikumbatia rwanda yenye ukubwa wa 26,000kmsq kama mkoa wa Tanga.
Ni aibu sana.
Hatuwezi kuboresha Taraza peke yetu bila kuihusisha Zambia ambayo ni mbia.Unajua kuwa Reli inajengwa kwa fedha za mkopo? Kwa hela zako za madafu unadhani huo mkopo utaweza kuulipa ndani ya muda?
Tazara ni ya Tanzania na Zambia! Tumeshindwa kutumia uwezo wetu kidiplomasia kuhakikisha tunaboresha Tazara na kukamata soko kusini mwa Congo?
Maswali yako yote mawili hayana msingi; kwani madeni mengine huwa yanalipwaje? Kwa mfano hiz b10 za Uviko zitalipwa kutoka kwa jirani yupi. Watu tunafikiria infrastructure zitakazosaidia uchumi wetu kupanda kwa kuongeza productivity, siyo biashara ya duka hiyo.Unajua kuwa Reli inajengwa kwa fedha za mkopo? Kwa hela zako za madafu unadhani huo mkopo utaweza kuulipa ndani ya muda?
Tazara ni ya Tanzania na Zambia! Tumeshindwa kutumia uwezo wetu kidiplomasia kuhakikisha tunaboresha Tazara na kukamata soko kusini mwa Congo?
Na rfk yangu anasukuma hiyo local motive ya makaburu...Hajui kama Tazara ilishakuwa na project ya ku-update reli yake ilianza kuunganishwa Dar mpaka Zambia miaka ya 90's kama sikosei, kuna jamaa zangu walipata ajira kwenye project hiyo na mpaka sasa bado wapo wanafanyakazi Tazara.
Labda tu kuna kitu hakijui, hapo Tazara sasa hivi kuna treni ya mizigo ya kampuni ya makaburu ambayo inatumia tu miundombinu ya Tazara lakini ina wafanyakazi wake na treni zake.
Washambenga wengi hawana habari hata media zetu nina hakika hawajui kinachoendelea Tazara ya leo.
Kasanga port huwa mnaizungumzia kwa faida ipi hasa? Mnaelewa hata jiografia ya eneo kweli?Ni kujipendekeza tu, ilipaswa priority iwe sgr kwenda kigoma.
Kaliua-mpanda-kalema (kisha unajenga kalema kuwa bandari).
TAZARA mnaijenga pia tawi kutokea tunduma kwenda kasanga na mnajenga bandari ya kasanga.
Yaani ziwa Tanganyika kunakuwa bandari tatu ambazo zinafeed drc kuanzia kalemie mpaka katanga lubumbashi.
Kusema unajenga sgr kwenda rwanda ili upeleke mizigo drc ni kujidanganya tu.
Northern drc inatumia mombasa route sana.
Congo Mashariki kuna Uchumi gani wa maana huko?Reli ya Kati inalenga Congo mashariki,Burundi,rwanda,uganda
Ndio hitaji la Kanda ya Ziwa hilo sio? Kwamba sgr itawatoa hapo no.17&18? 😁😁Hatujengi reli kwa ajili ya wacongo, warundi wala warwanda, tunajijengea reli kwa ajili yetu ili watanzania wasafiri na kusafirisha mizigo yao kwa gharama nafuu na hii itapelekea pia bidhaa kushuka bei. Sasa fikiria ni pande ipi ya nchi yenye wananchi wengi ya kupewa kipaumbele?
Wakongo Wana bandari kule Kinshasa,Ila miundo mbinu kufika Congo mashariki ni duni,so Congo mashariki ndiyo watumiaji wakubwa wa bandari ya dar,treni ni kwa ajili ya mizigo siyo abiriaCongo Mashariki kuna Uchumi gani wa maana huko?
Tupe Takwimu za kutoka bandariniWakongo Wana bandari kule Kinshasa,Ila miundo mbinu kufika Congo mashariki ni duni,so Congo mashariki ndiyo watumiaji wakubwa wa bandari ya dar,treni ni kwa ajili ya mizigo siyo abiria