Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

Hii gear pia ni nzuri unaweza pata mademu. Wanaweza jichanganya kwako.
 
Utakua hata mkeo humridhishi anakuvumilia tu. Unawaza ukajiaibishe na mwanamke mwingine kisa nini?
 
Hahahaha ata Mimi nilikuwaga hivoo ila kutokana na mazingira ya kazi nimejikuta napisi mbili moja ya kazini na nyingine nikiwa off
 
Hongera mazee wapo watu wa dizain yako yupo jamaa namjua kabisa, ila kwa mimi hapana yni ipite yanshi tepetepe nisisimke no papuchi ntabadili adi umri ukienda ntatulia
Na umri wenyewe hautatulia wewe s mpaka utulie 😂😂
 
Wengine tunanyamaze tu tulikua tunajilinda na kuepuka michepuko ila shetani huyu akatuchota na upepo wa kisurisuri tukajikuta Lodge tunalia ...niue baby hapo hapo hiiiii 😂
 
Watakwambia una kibamia hutaki kionekane na wanawake wengine..kwa sbb mkeo ameshakizoea...ila watu hawana jema...
 
Watakwambia una kibamia hutaki kionekane na wanawake wengine..kwa sbb mkeo ameshakizoea...ila watu hawana jema...
Wao ngoja waongee mkuu,lakini kiukweli kulala na mwanamke ambaye si wangu na niliyemzoea sijawahi kuwaza na sitawaza kwasababu mimi nina kinyaa sana!.

Huwa nikiwaza kuingiza uume wangu kwa mwanamke ambaye si wangu natamanigi kutapika!
 
Hii lugha kama ya Umughaka... 🤣 🤣 🤣 😆
Au ulijaribu moja ikakutoa mchezoni nini...mpka leo hutamani tena...
 
Acha kusema hivyo labda ujakamikika+
 
Hii lugha kama ya Umughaka... 🤣 🤣 🤣 😆
Au ulijaribu moja ikakutoa mchezoni nini...mpka leo hutamani tena..
Hapana mkuu nadhani nilizaliwa hivyo,mimi kiukweli sijawahi kutamani mwanamke tofauti na mwanamke wangu!,kinachofanya sitamani wanawake wengine huwa naona kinyaa!
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…