Naomba yaandaliwe maonyesho. Uje utazamwe Serikali pia itizame hili.....Tunashukuru Mama Samia kukuwezesha kuandika Uzi,,,,ehhh ndiyo kaleta mawasiliano. Na Nape hanajaaaaaaasahaaaaaa
Hongera sana kwako na Mungu akusaidie uendelee hivyo hivyo sio wote wanaweza na sio udhaifu ni hulka ya mtu. Wengi wanashangaa kwasababu hawawezi so kushindwa kwao kusifanye unayeweza kuwa ni udhaifu