stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Nimekupata mkuu.Hapo bado kushinda maana aliktakiwa apate Siti 61 yaan kura 61, ndipo aunde serikali.Lakini bado ana nafasi ya kuunda serikali endapo ataungwa mkono na senetors wengine.
Umeona ee jumla ya siti ni 120 so angepata 61 hao wengine angekua na 59 wasingeweza kumsumbua kuunda serikali, sasa anatafuta kuungwa mkono na watu wengine toka upande wa waarabu 19 au Mwanajeshi mstaafu mwenye 48.Duru za kisiasa zinasema bwana Netanyahu atajaribu kuunda serikari hivyo hivyo japo atapata upinzani.Nimekupata mkuu.
Chama cha Netanyahu kina 20.7% pekee usichanganye chama na muungano maana hao wengine wana uhuru wa kuingia serikali ya mpinzani wake.Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Kushindwa kupo tu kwa Netanyahu wachambuzi hawajakoseaWakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Almost
Kushindwa kupo tu kwa Netanyahu wachambuzi hawajakosea
Netanyahu kuunda Serikali lazima kufikisha viti 61
Sasa viti vengine hatatoa wapi kushinda ni kuunda Serikali sio chengine
Sasa Netanyahu lazima hakapige goti kwa mwarabu ndio yeye Netanyahu hawe pm huko sio kushindwa ‼️
Product ya madrassatul iyoDaaah hata kuandika hujui unashabikia siasa za Israel.... Hii nchi hii 🤣
Kobazi wa Buza wamenunaWakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
Netanyahu chapa pumb.u hao waarabu
Netanyahu apumzike. Aje yeyote yule hata awe nani ila sera za Israel hazibadiliki.
Waziri Mkuu wa Israel ni cheo cha kulaumiwa na Waarabu.
Daaaah ... Sisi tulidhani akija mwingine atakuwa soft? Yaani unamaanisha kupeleka moto kwa Iran na Palestine ni sera za Israel? Hii sasa inatisha. Mi nadhani mbaya wetu ni Netanyau tu...Ashinde yeyote hapo, ila makobaz wataendelea kupelekewa moto vile vile 🔥
Bado sijakuelewa mkuu. Ngoja niendelee kujifunza.Chama cha Netanyahu kina 20.7% pekee usichanganye chama na muungano maana hao wengine wana uhuru wa kuingia serikali ya mpinzani wake.
Kingine upinzani kwa ujumla una majority yaani muungano Gadi's jumlisha Arab parties vitakuwa viti zaidi ya 67 ndio maana nguvu kubwa anayotumia Netanyahu ni kuzuia waarabu kuingia serikalini maana ndio kaburi lake.
Pona ya Netanyahu ni Trump awashawishi kina Naftali Bennet na Yair Lapid wajiunge na Netanyahu otherwise ndio bye bye.