Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Alitakiwa awe na 61 seats ili aunde Serikali peke yake. Hapo ni aidha ajiunge na "Waarab" ambao hawapendi nao hawampendi au mpinzani wake ajiunge na "Waarab" wamuondoe.Wakuu salaaaam. Ndivyo wanavyoonyesha hapa Aljazeera.
Je, kwa hiki kinachoonekana bado tu Netanyahu ameshindwa kama akina Ritz wanavyotaka kutuaminisha?
Alamusiki.
