Tatizo kuelewa kwako nii janga kubwa
1) kwanza rudi kasome tena kile nimekiandika kule juu
Nimesema makombora ya Iranian popote yanafika ndani ya Israel na kiongozi yoyote wanaweza kumzika popote alipo!!!
Sasa wewe unanidai marehemu lengo langu ni kweli Iranian ni wenye kuweza kupiga popote ndani ya Israel !!!
manake kiongozi kazi kwake kama anaweza kujificha sehemu salama lkn bado Iranian yupo na uwezo kupiga popote kama kaenda kujificha misikitini nk juu yake!! Je kombora linafika popote mpaka bungeni kwao chooni 🤠
2)
Kujua je kuna kiongozi wa kisiasa au kijeshi kafa
kwenye kifusi ni jukumu la Serikali husika kutangaza !!
Sasa nimwekwambia ndani ya Israel kumepitishwa Sheria ya kuzuiya habari vita yoyote yenye kumpa nguvu adui yao
Kwaiyo huwezi kupata taarifa za Vifo mpaka wenyewe waone hii taarifa sio mbaya sana kwa kujua
adui yao.
ni Sheria imepitisha na Bunge lao
Mshangao wewe unadai kwangu kafa nani
taja kiongozi yupi Kwao ni siri kuu kiusalama
kama hawafi kwanini wamekimbia Vita baada ya ile Ceasefire❗🤠
Sasa tutajuaje Vifo wkt wao wamebana taarifa kisheria kujua maswali yako kwangu!!!
Ungejiuliza kama hawafi kwanini wapitishe hiyo Sheria Bungeni ❗