Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

Daaaah ... Sisi tulidhani akija mwingine atakuwa soft? Yaani unamaanisha kupeleka moto kwa Iran na Palestine ni sera za Israel? Hii sasa inatisha. Mi nadhani mbaya wetu ni Netanyau tu...
Sio kweli, mtu kama Gadi ni reasonable hata sera zake sio za chinja chinja kama Netanyahu. Amekataa vita anataka nchi iendelee kiuchumi sio mapigano kila siku.

Siku akitoka Netanyahu utaona ambavyo kutatulia sio Iran, sio Yemen sio Gaza!!

Na kwa taarifa tu vyama vya kiarabu kwa sasa vina kula ya turufu na kama wakimpa Gadi maana yake lazima atakua soft kwa waarabu ili aendelee kuwa waziri mkuu.

It's that simple
 
Na kwa Nini na wao wajitenge wasijichanganye na wengine?? Kitendo Cha kuanzisha vyama vyao vya waarabu tupu ni kujibagua pia.
Screenshot_20261029-125738.png
 
ndo hivyo,Netanyahu`s block is leading,hayo mengine ni ya kwako wewe
Ni hivi chama cha Netanyahu Likud kina 20.7% pekee ama kusoma hamjui?

Na pia Netanyahu block haiongozi ila opposition inaongoza maana Waarabu na Gadi ndio wapinzani wa serikali ya sasa issue imebaki tu kama wataungana au lah ila wana viti 67 kwa ujumla wao!!

Kwahiyo kwenye kila metric Netanyahu haongozi ndio maana ameanza kuwa mkali kuwa waarabu wameiba kura na wasishirikishwe serikalini.
 
Yaani Waisrael wametuvua nguo sisi waarabu weusi. Kule waarabu wanapata haki zote na wanalindwa. Hawa jamaa wana roho nzuri
Sasa Mbona Netanyahu anasema wazuiwe kuingia serikalini kama wana haki hizo? Hata upinzani wamekatazwa kushirikiana na waarabu!! Ubaguzi uko pale pale otherwise haufuatilii siasa za israel.
 
Bora netanyau ana huruma yule mwingine nasakia hata mabango yake kapiga hastag za #HURUMASIOMALEZI🏊‍♂️🏊‍♂️
Fake news, yule anajitambua kuliko Netanyahu sema ni propaganda tu zinasambazwa ili Netanyahu akianguka wasingizie sababu "kapatikana mbabe zaidi". Gadi is a gentleman sio kama hao vichaa kina Smotrich, Ben Gvir na shetan-yahu.
 
Kwa taarifa yako wewe mjinga Israel ni ile ile na sasa hao unaona chuki a kwa chuki za kijinga ndiyo wanaungana na Netanyahu kuunga serikali ya muungano!!! Wewe endelea tu kuleta visingizio-Uchwara. Na Mwaka huu utaharisha sana!!!
 
Haitakuwa mara ya kwanza mbona waarabu wameshakuwa sana mawaziri hapo Israel kama ambavyo waisrael wamekuwa mawaziri kwenye nchi za kiarabu kama Morocco Tunisia Egypt
Hata Rais wa Sasa wa Egypt ni myahudi

Yawezekana mana uyu Gadi kutokea Morocco ✍️
 
Haitakuwa mara ya kwanza mbona waarabu wameshakuwa sana mawaziri hapo Israel kama ambavyo waisrael wamekuwa mawaziri kwenye nchi za kiarabu kama Morocco Tunisia Egypt
Hata Rais wa Sasa wa Egypt ni myahudi
Wewe ulivyo mjinga unafikiri watu wote ni wajinga Kama wewe? Kawadanganye waarabu-koko wenzako huko msikitini!!
 
Rais wa Israel Herzog anata upinzani na netanyahu washirikiane kuunda serikali, netanyahu aongoze miaka miwili ajiuzulu,yote hii kuwakwepa waarabu

Mbinu yao lengo kumwacha Netanyahu madarakani

Baada ya miaka m2 Kabla ya kukabidh Madaraka Netanyahu anaweza kuvunja Serikali na kuitisha Uchaguzi mpya ✍️
 
Daaah .... Wewe jamaa una roho mbaya sana. Unataka aendelee kufanya uhuni anaotufanyia Iran na Palestine? Ameshatuchakaza sana. Sasa inatosha muwe na huruma nyie watu. Tutamsomea Al badir
Kwa hali ilivyo hata akija waziri Mkuu gani ila lengo kuu ni kujenga hekalu la Sulemani ulipo msikiti wa Al sasa, so bado kazi ipo sio kwamba Israel wameanza vita na palestina leo, waliopigana tangu enzi ya kina Samson
 
Mbinu yao lengo kumwacha Netanyahu madarakani

Baada ya miaka m2 Kabla ya kukabidh Madaraka Netanyahu anaweza kuvunja Serikali na kuitisha Uchaguzi mpya ✍️
Ndoto za Mwendawazimu hizo wajinga tu Kama wewe ndiyo wanaweza kuwaua hivyo!!
 
Sio kweli, mtu kama Gadi ni reasonable hata sera zake sio za chinja chinja kama Netanyahu. Amekataa vita anataka nchi iendelee kiuchumi sio mapigano kila siku.

Siku akitoka Netanyahu utaona ambavyo kutatulia sio Iran, sio Yemen sio Gaza!!

Na kwa taarifa tu vyama vya kiarabu kwa sasa vina kula ya turufu na kama wakimpa Gadi maana yake lazima atakua soft kwa waarabu ili aendelee kuwa waziri mkuu.

It's that simple
Huko hakuwezi kutulia as long as pale kuna Wapalestina. Hakuwezi pale sera ya Israel inaendeleza kile ambacho walikianzisha. Israel hawawezi kubali walipuliwe mabomu wasilipize mara 10 yake. Wapo hivyo. Na wao wanasema wanajilinda pia. We subiri uone moto ambao utawashwa . Huko hakuji kutulia Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani.
 
Kwa taarifa yako wewe mjinga Israel ni ile ile na sasa hao unaona chuki a kwa chuki za kijinga ndiyo wanaungana na Netanyahu kuunga serikali ya muungano!!! Wewe endelea tu kuleta visingizio-Uchwara. Na Mwaka huu utaharisha sana!!!
Aiseeeeeeh!
 
Sasa Mbona Netanyahu anasema wazuiwe kuingia serikalini kama wana haki hizo? Hata upinzani wamekatazwa kushirikiana na waarabu!! Ubaguzi uko pale pale otherwise haufuatilii siasa za israel.

Waarabu wana vyama na wanapiga kura. Hilo tushukuru. Wangekuwa wayahudi wangekuwa wameishauliwa katika nchi zetu. Labda uwe hufahamu siasa za Mashariki ya Kati.
 
Rais wa Israel Herzog anata upinzani na netanyahu washirikiane kuunda serikali, netanyahu aongoze miaka miwili ajiuzulu,yote hii kuwakwepa waarabu
Hizi habari umezitoa wapi? Au ni katika jitihada za kujifariji kutokana na Ushindi wa Netanyahu? Anyway Endeleeni kuteseka!!
 
Huko hakuwezi kutulia as long as pale kuna Wapalestina. Hakuwezi pale sera ya Israel inaendeleza kile ambacho walikianzisha. Israel hawawezi kubali walipuliwe mabomu wasilipize mara 10 yake. Wapo hivyo. Na wao wanasema wanajilinda pia. We subiri uone moto ambao utawashwa . Huko hakuji kutulia Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani.
"Wapalestina nimeishi nao si watu wa amani".
 
Back
Top Bottom