Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Inaonyesha wazi wewe huzijui siasa za Israel na unaongozwa na Mihemko ya msikitini!!! Israel kamwe haitakaa chini na waarabu labda wao waache Ugaidi bila hivyo chinjachinja utaendelea mpaka wote waishe!! Usijidanganye kuwa kiongozi yeyote wa Israel atakuwa soft kwa sababu ya kura za waarabu Hilo Saha na kawadanganye Misikitini kwenu tu!!Sio kweli, mtu kama Gadi ni reasonable hata sera zake sio za chinja chinja kama Netanyahu. Amekataa vita anataka nchi iendelee kiuchumi sio mapigano kila siku.
Siku akitoka Netanyahu utaona ambavyo kutatulia sio Iran, sio Yemen sio Gaza!!
Na kwa taarifa tu vyama vya kiarabu kwa sasa vina kula ya turufu na kama wakimpa Gadi maana yake lazima atakua soft kwa waarabu ili aendelee kuwa waziri mkuu.
It's that simple