Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

Daaaah ... Sisi tulidhani akija mwingine atakuwa soft? Yaani unamaanisha kupeleka moto kwa Iran na Palestine ni sera za Israel? Hii sasa inatisha. Mi nadhani mbaya wetu ni Netanyau tu...
Ukweli ndio huo. Kusema hakutakuwa na vita kati ya Israeli na waarabu ni uongo.
Kumbe Israel kuna waarabu na wanaruhusiwa kupiga kura!
Sijui kwanini waarabu wanashindwa kuishi na mayahudi mbona ni kama watu wema sana?
 
Netanyahu kaapa hawezi kuunda serikali na vyama vya warabu same na Eisenkot. Which means vyama wanavyoongoza Netanyahu na Eisenkot viko tayari kurudia uchaguzi ila sio kushirikiana na vyama vya waarabu kuunda serikali. Hii inatokea katika nchi inayotambulishwa kama muhimili na mfano wa demokrasia middle east. Waarabu wanabaguliwa ndani ya nchi yao ila kitu hiki hiki kikifanywa kwa jews huko katika mataifa mengine waliko itaonekana ni ubaguzi dhidi ya wayahudi na huenda kelele za anti semitism zinaanza. Is this fair?
 
Kumbe Israel kuna waarabu na wanaruhusiwa kupiga kura!
Sio kupiga kura tu!!
kuna wagombea 19 wameshinda
Lkn ukienda kwenye Makanisa kumejaa wahuni tu
utapigwa propaganda za uwongo na Sadaka utawapa 🤠

Wakiambiwa ukweli
wanaugomea
Mazwazwa tuna yaachaga tu❗
 
Hapo bado kushinda maana aliktakiwa apate Siti 61 yaan kura 61, ndipo aunde serikali.Lakini bado ana nafasi ya kuunda serikali endapo ataungwa mkono na senetors wengine.
umeeleza vzuri sana, bibi bado ngoma nzito, atafanikiwa kuwashawishi wapinzani wake waungane kuunda serikali? ngoja tusubiri tuone.
 
Netanyahu hawezi kuwa PM lazima Waarabu wahusike

Mtanambia mwisho wa siku kumetokea nini!!!

Mpinzani wake napo ni ivyo ivyo lazika aseme ssalam aleykum shubamit
Waraabu wameshika shilingi 🤠
 
Sio kupiga kura tu!!
kuna wagombea 19 wameshinda
Lkn ukienda kwenye Makanisa kumejaa wahuni tu
utapigwa propaganda za uwongo na Sadaka utawapa 🤠

Wakiambiwa ukweli
wanaugomea
Mazwazwa tuna yaachaga tu❗
Kumbe mayahudi wana uvumilivu wa kisiasa.
HUku msikitini tunaambiwa mayahudi ni makatili wanampango wa kuangamiza wapalestina wote.
Hawa mashelkh mbona wanatuchanganya.
 
Ukweli ndio huo. Kusema hakutakuwa na vita kati ya Israeli na waarabu ni uongo.

Sijui kwanini waarabu wanashindwa kuishi na mayahudi mbona ni kama watu wema sana?
wanazuoni wa biblia wanadai et hao jamaa zilianza kupigwa tangia wakiwa tumboni, kngne kuna bifu la kupora uzao wa kwanza kwa bakuli la mchuzi na kupora baraka za mmoja kutoka kwa baba.
 
Netanyahu kaapa hawezi kuunda serikali na vyama vya warabu same na Eisenkot. Which means vyama wanavyoongoza Netanyahu na Eisenkot viko tayari kurudia uchaguzi ila sio kushirikiana na vyama vya waarabu kuunda serikali. Hii inatokea katika nchi inayotambulishwa kama muhimili na mfano wa demokrasia middle east. Waarabu wanabaguliwa ndani ya nchi yao ila kitu hiki hiki kikifanywa kwa jews huko katika mataifa mengine waliko itaonekana ni ubaguzi dhidi ya wayahudi na huenda kelele za anti semitism zinaanza. Is this fair?
Na kwa Nini na wao wajitenge wasijichanganye na wengine?? Kitendo Cha kuanzisha vyama vyao vya waarabu tupu ni kujibagua pia.
 
Back
Top Bottom