Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Sijui lkn wacha nisikomment chochotee maana niko nchi hiii.
Na uchung wa haya mimi zimenigusa moja kwa moja.
 
Uleta uzi ungekua unatumia akili yako hata robo tu ungejua Tanzania tatizo sio mapato ila tatizo ni matumizi ie 80% ya matumizi ya mapato serikalini yanaenda kwenye matumizi ya kawaida mfano kugharamia misafara ya maviete, kulipa posho na per diem,mbio za mwenge nk alafu 20% ndio zinaenda kwenye maendeleo.
Ukitaka kuona Hilo angalia maisha ya wenye vyeo vya uteuzi na wanasiasa ndio wenye matumizi makubwa ya Kodi za nchi hii ndio maana wanakomalia hizo tozo na Kodi kwa sababu wao haziwapi shida ila ndio zina gharamia maisha yao na familia zao.
Hizo huduma wanazosema wanajenga kwanza hazina ubora, zingine zinajegwa na wahisani pamoja na wadau wa maendeleo ndio maana hata kabla ya wao kuleta hizo tozo na Kodi zilijengwa ie wakati wa Kikwete alijenga shule za kata nchi nzima, aliunganisha mikoa kwa lami nchi nzima vituo vya afya na taasisi za elimu bila Kodi kandamizi
Kiujumla tatizo lilianza kwa jiwe kuanzisha miradi isiyo na tija za moja kwa moja kwa wananchi ie uwanja wa chato, kununua mindenge cash pesa ambayo ingeweza kutumika kuboresha huduma kama hizo. Miaka 60 ya uhuru Tanzania bado tunazungumzia kujenga barabara,shule, vituo vya afya na maji ni aibu Sana ukilinganisha na rasilimali chungunzima tulizonazo ingekua wenzetu wanazungumzia diffusion ya sayansi na tekinaolojia, kuongeza uwekezaji na kukuza uchumi ambao ingeongeza ajira ambapo tungeongeza mapato zaidi bila kumuumiza mwananchi. Shame on you serikali ya CCM miaka yote ya utawala mmeifanya Tanzania a failure state.
 
Tunaunga mkono,moja kwa moja.Asante kwa kutufahamisha,tunazidi kuelewa.Bila kodi na tozo,maendeleo tutayaona wapi.Kuna sehemu nilipita jana,kwa jinsi barabara ya kisasa ilivyojengwa,na hospital iliyokaribu ilivyokarabatiwa,na kuwa na vifaa vya kisasa,kweli maendeleo yapo,mwenye macho,haambiwi tizama.
 
Rubbish
 
Kila siku wafanyakazi ndo wamekuwa wakikamuliwa katika kuiendesha hii nchi. Wengine walikuwa wanaona sawa tu. Ni wakati sasa kila mtu achangie kwa maendeleo ya Mama Tanzania
Umesema kweli tupu,wapo wasiofanyakazi rasmi,ilikuwa hawalipi kodi yoyote,na walitumia huduma za jamii,kama hospital,barabara,shule nk,sasa ndio wanalipa tozo,kodi,kwao ni jambo geni,ndio wanaopiga kelele.
 
Huko hospital hizo huduma wanapata bure? Lakini mbona maraisi wengine hawakufanya hayo?
Barabara,shule,matibabu,taa za barabarani,usalama,unalindwa wewe na familia yako na ndugu na jamaa zako nk,vyote kupitia kodi.,unavipata bure.,hasa kwa wewe usiyelipa kodi.Lipa kodi.kwa maendeleo ya nchi yako na wewe mwenyewe.
 
Zinawahusu Ila zinawashirikisha wananchi wote kwa pamoja
Lord nakujua kuwa wewe ni mmoja wa washauri wa karibu wa mama. Umechangia sana kumpotosha. Umeshiriki kumpotosha kwa mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kuwa una masilahi binafsi kule. Kwa mwananchi wa kawaida tozo ni mzigo mkubwa usiobebeka!
 
Kwa muandiko huu nishakujua, swali ni kwamba kwnn unabadili badili Id kila kukicha? Hujiamini au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fanya tukio la kihalifu uthibitishe kuwa nchi haina kiongozi hii ipo kwenye autopilot.

Unataka nani alipe kodi?

Hii nchi tuliziua biashara za kati ambazo ndizo zinazoajiri na kulipa kodi, tuliwakamua kodi bila kujali na wanyonge kushangilia ili wote wawe mashetani.

wafanyakazi waliopo ni wachache, biashara ni chache ni wakati sasa kila mnyonge achangie kidogo tu ili serikali ikisema tunataka kodi basi kila mmoja aelewe serikali inamaanisha nini. TULIPE KODI hali ikitengamaa biashara zikarudi wanyonge mtaachwa.
 
Kamzidi mwendazake eee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti SGR ni ya Kikwete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ana IDs nyingi humu JF kupita mfano, mda wote yeye na Kikwete tu, atakuwa Riz huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo tozo zote kwa mtu mmoja ndio kuchangia kidogo? stupid.
 
denooJ 🤣 🤣 🤣
 
Kwani huduma nzuri napata bure ?

Natumia ela yangu au kodi yangu kupata hyo huduma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…