Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

Kwani huduma nzuri napata bure ?

Natumia ela yangu au kodi yangu kupata hyo huduma..
kwa akili yako unafikiri thamani ya uendeshaji wa kituo cha afya inafidiwa na hela wanazotoa wagonjwa?
 
Kwa aina ya magonjwa ya karne ya hii vituo vya afya havifai kabisa
 
Samia hadi sasa anaongoza kwa kudanga tu, kila mwezi lazima akadange,
Mwezi ujao naskia anaenda kutafta danga jipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kwa kudanga ndo tunapata haya mambo mazuri basi ni vizuri
 
Weka ushahidi kuwa Mimi ni mdini! Kwa taarifa yako Mimi ni Mkristo mkatoliki
 
Lord nakujua kuwa wewe ni mmoja wa washauri wa karibu wa mama. Umechangia sana kumpotosha. Umeshiriki kumpotosha kwa mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kuwa una masilahi binafsi kule. Kwa mwananchi wa kawaida tozo ni mzigo mkubwa usiobebeka!
Mie mkulima Niko RUVUMA nakuwaje mshauri wa Mama ndugu yangu?

Kuhusu Bandari ya Bagamoyo msimamo wangu haukuwahi kubadilika. Naunga mkono ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Kwa sababu ni mradi utakaoleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kutengeneza ajira nyingi kwa wananchi wetu.
 
Lengo la media ya Jana ya Mwigulu na Mawaziri wenzake lilikuwa hilo kuwaamanisha wajinga kama nyie kuwa hizo tozo ni muhimu zaidi ziendelee kuwepo.
Sasa kama tozo hizo ndio zimejenga hivyo vituo 90 vya afya shida inatoka wapi?
 
Nani kamsifia Samia kwa sababu ni muislam mwenzake? Au Mzanzibar mwenzake.
Mie ni mtanganyika Mkatoliki
 
Umesema kweli tupu.Wengi wanaolalamika,walikuwa hawalipi kodi ,ndio hao wanaolalamika.Wapo watu,wanaojifanya hawana kipato,kumbe biashara zao ndogo ndogo,zinaingiza kuliko mwenye biashara kubwa,ambaye ana madeni ,na mikopo mingi ya Benki.
 
Kwa miradi hii Kama ndo inamaanisha nchi iko kwenye auto pilot basi ni sawa iwe kwenye auto pilot hata kwa miaka 300 zaidi
Usidanganywe na miradi ya kwenye makaratasi
Subiri implementatjon
Na hapo hivyo vituo vya afya vinaweza kuisha halafu ukaambiwa hakuna dawa,vifaa tiba,vitanda na wauguzi hakuna..
 
Usidanganywe na miradi ya kwenye makaratasi
Subiri implementatjon
Na hapo hivyo vituo vya afya vinaweza kuisha halafu ukaambiwa hakuna dawa,vifaa tiba,vitanda na wauguzi hakuna..
Kila kitu ni hatua. Acha vijengwe vituo, mengine yatafuata
 
Acha ujingawewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…