secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Chachage ni muhuni sana.Kazi ipogo!
Mkuu una nondo sana bwashee ,mods wanaokupaga bans walaaniwe ,wanafanya tunakosa madini kama hayaHadithi.
Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. π
Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za kununua peremende. Mtoto akaenda nyumbani kwa furaha na kumwonyesha mama yake zawadi hiyo.
Mama, baada ya kusikia kilichotokea, akajiambia moyoni: βNa mimi wiki ijayo lazima niwepo!β
Jumapili iliyofuata, mama akawahi kupanda mtini. Padri akafika, akafanya mambo yake (kukojoa ) kama kawaida. Mama akautikisa mti ili padri amwone.
Padri alipomtazama, akamwambia ashuke. Kisha akampa pesa na kumwambia:
"Nenda kanunue wembe!" π€£π€£π€£
Hadithi hii sijaisimulia kama ilivyosimuliwa kwenye kitabu maana riwaya ya Makuadi wa Soko Huria niliisoma kitambo sana, hivyo sikumbuki vizuri.
R.I.P Chachage Seithy Chachage.
Cc Mshana Jr, Moisemusajiografii,
Dr am 4 real PhD.
Hahaha! π€£ π€£ πMkuu una nondo sana bwashee ,mods wanaokupaga bans walaaniwe ,wanafanya tunakosa madini kama haya
Riwaya yangu pendwa ya muda woteHadithi.
Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. π
Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za kununua peremende. Mtoto akaenda nyumbani kwa furaha na kumwonyesha mama yake zawadi hiyo.
Mama, baada ya kusikia kilichotokea, akajiambia moyoni: βNa mimi wiki ijayo lazima niwepo!β
Jumapili iliyofuata, mama akawahi kupanda mtini. Padri akafika, akafanya mambo yake (kukojoa ) kama kawaida. Mama akautikisa mti ili padri amwone.
Padri alipomtazama, akamwambia ashuke. Kisha akampa pesa na kumwambia:
"Nenda kanunue wembe!" π€£π€£π€£
Hadithi hii sijaisimulia kama ilivyosimuliwa kwenye kitabu maana riwaya ya Makuadi wa Soko Huria niliisoma kitambo sana, hivyo sikumbuki vizuri.
R.I.P Chachage Seithy Chachage.
Cc Mshana Jr, Moisemusajiografii,
Dr am 4 real PhD.
Kama una soft copy yake itupie, mkuu. Ni muda mrefu sana naitafuta bado sijaipata.Riwaya yangu pendwa ya muda wote
Hapana mzee. Mlimani library wana hard copy unaweza kuiscan kwenye pdf kwa matumizi ya walio wengi.Kama una soft copy yake itupie, mkuu. Ni muda mrefu sana naitafuta bado sijaipata.
Sawa mkuu.Hapana mzee. Mlimani library wana hard copy unaweza kuiscan kwenye pdf kwa matumizi ya walio wengi.
Hakipo tena pale Bookshop
Huyo ningemwambia twende nae kwangu mimi ni kinyozi...