Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

Nimeipenda sana shukrani mkuu , sasa niko najifunza jinsi ya ninavyofuatiliwa huku ninakula keki ya taifa na wanakijiji kwa siri.
Hahaha Jf imepoa haina story nying kama wiki mbili zilizopita😃
 
KESI YA MZEE MNYOKA 11

Baada ya kutuma majibu ya sampuli zote Sasa Oscar alishamaliza kazi ya kwanza na hivyo alishajua lazima "Wenye Mali" watajitokeza kufanya kikao Cha dharula,

Alienda kibaruani Kama kawaida na huku akiomba Mungu yule Mlinzi wa Jana usiku asiwepo asubuhi hii, hata hivyo kwa namna alivyojiweka isingekuwa rahisi kutambulika,

Sasa Oscar alifanya kazi huku akiwa ametega masikio yake Kama kuna chochote kumsaidia ...

Ni wakati akiwa anapeleka box moja kule ofisini ndipo akasikia "jamaa" wawili wakipiga story,

"Ndio Ila nasikia order tayari imetoka yule Mzee apotezwe Kuna kila dalili yule Mzee ndio kasababisha huyo jamaa aingie Jana kuiba sampe, unaambiwa huyo jamaa Ni zaidi ya komando, maana kafanya yake halafu kayeyuka, mpaka Carlos mwenyewe unaambiwa kasanda game!"

"Ila mwanangu ujue hii sehemu hatari sana Basi tu"

Oscar aliweka box Kisha akatoka zake,

"Mzee Mnyoka Yuko hatarini" aliwaza ,

Kwa sheria za pale,
Kama Kibarua alikuja na simu Basi alitakiwa kukabidhi kwa Mlinzi , ilikua Ni marufuku kuingia na simu kazini,

Hivyo Oscar aliwaza na kuwazua, alitamani apige simu kwa Kimei au Josephine ili kuwatahadharisha kuhusu Mzee Mnyoka,

'ila niliwaambia wachukue tahadhari" alijisemea,

******

Hospitalini Kiomboi asubuhi saa 2:30,

Nesi Furaha akiwa kazini akiwa zamu ,
Siku hiyo alikua kwenye wodi ya wazazi pamoja na nesi mwenzake Janet,

Simu yake ya mkononi iliita ,
Kwa kuona tu yule mpigaji nesi Furaha akatabasamu na kuiweka Ile simu kifuani,

Janet alitabasamu tu, alimjua rafiki yake vizuri na hivyo akishagundua lazima simu Ile Ni ya mwanaume wake,

Furaha alitoka nje ya wodi na kupokea,

"Hello baby, "
"Hello d, jamani nilikuwa nakuwaza Sasa hivi tu, nawe ukapiga! Nesi Furaha aliongea kwa sauti legevu,

"Mi mwenyewe nimekumisi Sana huwezi Amini, Niko nje hapa mapokezi!"

Ilisikika sauti upande wa pili,

"Jamani honey, umenifuata Hadi kazini?"

Furaha Sasa aliongea huku akipiga hatua kutoka nje, ..

Aliendelea kupiga hatua huku akiongea na simu na mpenzi wake huyo,

Alifika nje na kumuona "mtu wake " akiwa amepaki Gari yake ndogo Nyeusi huku akiwa anazunguusha zunguusha funguo,

Alimfikia na wakaanza kukumbatiana,

Furaha hakujali umati wa watu pale nje,

Hakika walipendeza Sana,

"D Niko bize na kazi jamani, nimefurahi kukuona"
Furaha Sasa alisema huku akijaribu kujinasua mikononi mwa yule jamaa,

Ni wakati huo dokta kimei alikua nae akiingia ndani ya geti la hospitali, alipaki Gari yake Kisha akatoa simu yake na kupiga hatua, kuelekea ndani,

Wakati anakaribia mapokezi Sasa alimuona furaha na mpenzi wake dokta kimei alikua mtu wa utani Sana na alikua mtu mcheshi, manesi wote waliokuwa wanapangwa zamu na Dokta Kimei walifurahia Sana, hakuwa mtu wa kufuatilia Sana mambo,

Dokta Kimei Sasa aliwakaribia akina furaha,

"Oooh kaeni hivyo hivyo, mmependeza Sana, Sasa furaha weka pozi,.....
Ooh Yes, nice photo"

Dokta Kimei aliongea huku akiwa amepiga picha kadhaa kupitia simu yake,

"Nooo nooo! Huwezi kutupiga picha bila ridhaa, lete hiyo simu hapa!"

Mpenzi wake Furaha alibadilika ghafla , Dokta Kimei na Furaha wakaangaliana,

"Easy man, Easy!"

Dokta Kimei aliongea Sasa huku akichukua tahadhari kwa huyu jamaa aliyegeuka mbogo ghafla!

Dokta Kimei hakuwa mtu wa kupenda ugomvi kabisa, kwake yeye alichukulia Kama Jambo "dogo tu"

Hata nesi Furaha alimshangaa Sana mpenzi wake huyo, iweje akubali kukumbatiana hadharani halafu akatae kupigwa picha?

Nesi Furaha Sasa aliingilia Kati,

"Frank No, please usimfanyie fujo huyo Ni mkuu wangu wa kazi nakuomba please"

Furaha aliongea huku akimshika Mkono,

Dokta Kimei aliduwaa tu, baadhi ya watu Sasa walishaanza kunusa harufu ya ngumi na kuanza kuweka mazingira ya kusogea,

Frank Sasa alisita kumsogelea dokta Kimei,

"We mwanaharamu ungenijua, usingenichukulia poa"

Alijisemea mwenyewe halafu akarudi nyuma kwa mpenzi wake,

Dokta Kimei Sasa aliingia ndani kwani ulikua Ni muda wa kumuona mgonjwa wake Mzee Mnyoka kwa ajili ya chai ya asubuhi!

********

"Mimi sipendi kabisa kupigwa picha , ndio maana nikakasirika, ndio maana hunioni Facebook, Wala Twitter au kwenye sijui ma Nini huko, nipo hivi unavyoniona"

Frank aliongea huku akiwa amekaa na Furaha kwenye benchi moja ndani ya hospitali,

"Okay d nimekuelewa, vipi kazi lakini huko Mgodini, na mbona umekuja huku leo wakati kila siku unasema uko bize"
Furaha aliongea

"Yeah, Niko bize siku zote, nimekuja town Mara moja, Kuna karatasi fulani za kutuma huko serikalini, so nikaona nisiishie mjini nikutembelee kidogo," alisema Frank,

"Sasa si tunalala au, nimekumis ujue,"
Furaha aliongea Sasa kwa sauti ambayo kwa wanaume Mara nyingi huwa haiwi ombi tu Bali hugeuka amri,

"Poa, usijali"

Frank alijibu,

"Angalia we nenda Home, utamkuta dada pale, nampigia simu, Ila Sasa ujikaze ntakuja kukupikia mwenyewe chakula Cha mchana"

Alisema Furaha,

"Poa d, halafu , Kabla sijasahau Kuna Mzee wetu pale kijijini aliletwa huku aisee anaendeleaje?"

Frank aliongea huku akijifanya kuondoka kuonyesha kuwa "Hakujali" Sana habari za Mzee Mnyoka

"Mmh anaendelea vizuri kwakweli, yule dokta aliyetupiga picha ndio anamtibia"

Furaha aliongea Sasa bila wasi wasi,

"Yuko wodi namba ngapi aisee nimcheki"
Frank aliuliza,

"Haiko mbali twende"

Frank alitoa miwani yake akavaa! Wakaanza kupiga hatua mdogo kuelekea wodi alipo Mzee Mnyoka,

********

SAA 4:00 asubuh Dar es salaam

"Ni kweli, tumepata taarifa za uwepo wa urenium, Tena kwa kiwango Cha juu Sana, kupita tulivyodhani,"
Alisema Sasa Mr Allan, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa akiwa Kwenye kikao chake cha Siri na watu wake wa siku zote kwenye Mambo nyeti Kama haya,

Wenzake walikua kimya kabisa wakimsikiliza ..

"Kijana alituma sample usiku wa Jana, amefanya kwa haraka na kwa umakini mkubwa, Sasa nawasikiliza mnasemaje katika hatua hii inayofuata"

Alisema Mr Allan, huku akiwatazama wajumbe wale kwa macho yake makali,

"Kwanza, tuweke ni plan, kutokana na unyeti wa Jambo kwanza Mimi nilikua nashauri ibaki kuwa Siri yetu kwanza,
Halafu tuweke watu standby ili kumsaidia kijana kule,

Lakini pia ni vyema hizi taarifa zifike kwa Raisi moja kwa moja,"

Mr Oresta Sasa aliongea, huku akiweka koti lake vizuri Kama ilivyokuwa kawaida yake,

"Mimi Nina wazo mkuu, Ni wazi kuwa hawa watu wanakimbizana na muda, nao pia wanahofia, hivyo kuzidi kuchelewa Ni kuwapa wao nafasi ya kujipanga zaidi, lakini pia tunaweza kukosa ushahidi "

Sasa Bwana Rashid , aliongea ...

"Nadhani nimewasikia , hebu tupeane task jioni hii kila mmoja aje na plan ya kufanya misheni hii kwa wakati na umakini mkubwa, kesho asubuh tukutane , mahali pa kukutania nitawaambia, Ila muda Ni saa tano kamili, na kode yetu ya muda Ni "Pembe za ndovu"
Sasa Naahirisha kikao Chetu hiki,

Alisema Mr Allan, Kisha akachukua notebook yake na kutangulia,

Ndivyo walivyozoea kukutana, kila kikao na sehemu yake, Leo wangekutana kwenye jengo Hili, kesho wangekutana hoteli hii, kesho kutwa wangekutana kwenye nyumba flani, ili mradi tu vikao vyao vilikua katika Hali ya usiri mkubwa...
 
Mbona kama tunaanza kupeana arosto mkuu
 
@Shunie
 
KESI YA MZEE MNYOKA 12

Walipiga hatua pole kuelekea wodi alipokua Mzee Mnyoka, Frank hakuonyesha dalili zozote za ubaya alikua amevaa miwani yake huku akiangalia huko na huko,

"WODI YA WANAUME"

maandishi makubwa yalisomeka juu ya mlango nesi Furaha alimuongoza Frank na kuingia Hadi ndani,

"Emergency room"

Waliingia kwenye chumba kingine ambacho ndicho alikua Mzee Mnyoka,

"Loh nimesahau huu ndio muda wake wa kupata matibabu, yupo kwa dokta kimei, nilisahau kabisa"

Furaha alisema huku akimuangalia Frank,

"Okay Basi utampa pole"

Frank alisema huku akiangalia angalia mazingira ya pale ndani,

Walitoka nje na kupiga hatua,

"Huu mlango unatokea wapi?"

Frank alimuuliza furaha,
"Hiki Ni chumba Cha dharula kwahiyo mlango huu Ni Maalum kutokea nje, au kumuingiza mgonjwa bila kupitia kwenye mlango wa mbele"

Alijibu Furaha,

Frank alivua miwani yake huku akisema,

"Haya Sasa baby, mi ngoja niende, utanikuta, naamini nitakuta zile CD zangu, "

"Zile za mieleka?"

"Yeah"

"Mh zitakuwepo tu, niliweka kwenye dressing table , Hakuna mtu wa kuangalia hiyo midude yako"

Furaha Sasa aliongea huku akitabasamu,

Alimtoa nje kabisa mgeni wake Kisha akarudi ndani kuendelea na kazi..

*************

Ofisini kwa dokta kimei

"Mzee Mnyoka naamini Mambo yanaelekea mwishoni kabisa tuombe Mungu "

Dokta kimei aliongea

"Ah kabisa Mimi mwenyewe naona Kama naanza kuumwa kweli, nimezoea kutembea tembea Sana,"

Mzee Mnyoka aliongea,

"God will make a way, where it seems to be no way, ..."

Ilikua Ni sauti kwenye simu ya dokta Kimei,

Aliitoa chap na kuweka sikioni, alikua Ni Josephine,

"We mwanamke vipi saa hii au kuna mfungwa amezimia unaomba msaada?"
Dokta Kimei aliongea, hii ilikua Ni desturi yao ya kutaniana,

Akipiga simu dokta Kimei, Josephine atamuuliza Kama anahitaji msaada wa kipolisi, na akipiga simu Josephine dokta Kimei atauliza Kama anahitaji msaada wa kitabibu, ili mradi tu walihakikisha maongezi yao yanajaa utani,

"Mimi ndio nimezimia hapa"
Josephine Sasa aliongea,

"Hahahaha hata Mimi naona, haya lete mpya mama, naona utulivu vipi hauko job"

Kimei aliongea,

"Naingia night Leo, sikia, Kuna bonge la breakfast hapa nimeandaa njoo ule we mwanaume acha kula kula vitumbua vya kantini"

Josephine aliongea huku akitoa kicheko kwa mbali,

"Dah nipe dakika kadhaa hapa, nakuja muda wa chai huu, hata Mimi mwenyewe sipendi vile vitumbua vya huko mtaani Basi tu"

Dokta Kimei aliongea,

"Halafu yule Mzee anaendeleaje, "

Josephine aliuliza
"Yuko okay ninae hapa,

Alisema Kimei Kisha akamalizana na Mzee Mnyoka akatoka nje, hakutaka kutumia Gari yake akachukua boda boda kwenda kwa Afande Josephine.

*************
Oscar aliendelea na kazi huku mawazo yakiwa kwa Mzee Mnyoka, alitamani atoke akapige simu lakini haikuwezekana,

Ni wakati anapeleka mabox ndani na kuyapanga store ndipo masikio yake yakahisi kitu flani,

Alisikia Kama sauti za mashine zikinguruma mahali,

Kwa nje jengo lilikua la kawaida tu lenye vyumba vitano na ukumbi mmoja,

"Hizi sauti zinatokea wapi?" Oscar Sasa aliamua kupuuza na kuendelea na shughuli zake,

"Baharia mbona husomeki?"

Ilikua Ni sauti ya Tony

Tony alikua ameona kule kuchelewa kwa Oscar ndani na akaamua kumfuata,

"Hukuniambia mahali pa kuweka Hili box tofauti na haya mengine"

Oscar alijitetea

"Kwanini usiulize tangu kule?"

Tony Sasa aliongea kwa hasira,

"Sorry boss"
Oscar aliongea kwa upole huku akitoka,

**********

"Dah Leo bhana bado kidogo nipigwe" Kimei aliongea huku akiendelea kula , alimsimulia habari za yule mpenzi wake na Furaha..

"Mhh, huyo jamaa atakua na Jambo, hebu picha yake"

Josephine aliongea,
"Hiyo, "

Kimei alimpa simu Josephine akimuonyesha picha yake,

"Ooh si Frank huyu, yupo Kwenye mradi kule Kinjeki,"

Alisema Josephine,
"Mh umejuaje"
Kimei aliuliza

"We jamaa , mi Ni polisi ujue!"
Josephine aliongea akicheka,

"Mhhh"
"Iko hivi ule Ni mradi mkubwa sana, kwahiyo Mara nyingi tunasindikiza viongozi pale, kwahiyo nawajua"

Josephine aliongea,

Baada ya mlo dokta Kimei aliondoka zake huku akiwa na Jambo lake kichwani,

Alishamtilia mashaka Frank hususani baada ya kusikia ametoka kule kule kwenye mradi,

"Hawezi kuja bure hapa hospital"
Aliwaza Kisha akaagiza Mzee Mnyoka aletwe,

"Kuna mtu nataka kukuonyesha picha yake Kama ulishawah kumuona popote"

Dokta Kimei alimuambia Mzee Mnyoka baada ya kuletwa..

Alitoa Ile picha ya Furaha na Frank aliyowapiga pale nje na kumuonyesha Mzee Mnyoka...

"Nawajua wotee!"

Mzee Mnyoka alisema...
 
KESI YA MZEE MNYOKA 13

Huyu Ni nesi Furaha, na huyu Ni yule Kijana ambaye aliniletea flash, kule Kijijini"
Mzee Mnyoka Sasa alisema,

"Unasemaje Mzee Mnyoka?" Dokta Kimei aliuliza kwa mshangao..

"Ndio huyu huyu"
Mzee Mnyoka alisema,

Kengele ya hatari ililia kichwani mwa dokta Kimei,

"Okay, huyu jamaa amekuja Leo hapa hospitali!"

Dokta Kimei alimuambia Mzee Mnyoka,

Hata hivyo hawakuchukulia Kama uzito Sana Mzee Mnyoka akarudi zake wodini kwake,

Dokta Kimei Sasa alikua anawaza kuhusu yule jamaa,

"Labda Ni hofu yangu tu" Kimei aliwaza,

"Lakini hata ukitembea gizani huwezi kufumba macho....lazima ukodoe macho"

***********

"Pole mpenzi wangu nimekuacha mwenyewe jamani"

Furaha alisema huku akimfuata Frank pale Kwenye sofa,

"Usijali Niko fresh namcheki Randy Orton, hapa na big Shaw Kwenye WrestleMania"

Frank aliongea huku akiwa amekazana kuangalia michezo yake hiyo ya WWE

"Mhh kwahiyo hapo unajisikia Raha kabisa, wanavyopigana vile"

Furaha alimuuliza Frank huku akiwa bado amesimama,

"Yeah, hebu kafanye mishe za msosi aisee, story baadae"
Frank aliongea huku akijiweka vizuri pale Kwenye sofa,...

Baada ya lisaa limoja chakula kulikua tayari mezani,

Frank na Furaha Sasa wakawa wanakula huku wakipiga story mbili tatu,

"Kwahiyo yule Mzee Sasa mmempima ana tatizo gani?"

Frank aliuliza
"Mh kiukweli d, duniani kuna Mambo,
Yule Mzee ukimkuta kitandani, Ni mgonjwa kabisa, lakini juzi hapa nimemkuta kwa dokta kimei anaongea kabisa, halafu nilipofika akakaa kimya, nahisi yule Mzee ana Jambo, mbona vipimo vyote vinaonyesha Hana shida!" Furaha alikua Sasa "anamwagika" bila kujijua kuwa anafanya Jambo la hatari,

Frank alijisikia kusisimka mwili, alitamani aache kula chakula achukue bastola yake akampige risasi mbili za kichwa Mzee Mnyoka halafu arudi zake kijijini,

"Ah kawaida wazee wanakua na magonjwa mengi, you never know"
Frank alijisemea huku akichukua juice....

**************

Oscar alitoka zake pale stoo huku akisindikizwa na jicho Kali la Tony,

Alifika na kukaa kwenye sehemu ya mizigo na kuendelea kubeba, huku akiwaza kazi iishe haraka arudi mafichoni kwake akampigie dokta Kimei,

Tofauti na siku zote siku hii kazi iliisha mapema na vibarua wote wakatangaziwa kuwa kesho Ni mapunziko "wakale Bata" au kufua nguo zao n.k,

Na hivyo watalipwa malipo yao na kuongezewa nusu yake kwa ajili ya kesho,

"Hizi ofa Ni kila wiki au?"

Oscar alimuuliza mwenzake mmoja wakati wakiwa wanatoka nje ya geti,

"Ah we mgeni meen, hapa Hakunaga ofa Mzee ukiona hivyo ujue Kuna usafi unataka kufanyika kesho, au ujue Kuna ugeni kiongozi mkubwa anakuja, au Kuna mishe muhimu, pale kazi tu Mzee baba"

Yule jamaa akaongea,

"Ooh kumbe, poa Mwana, kesho kutwa Basi !"
Oscar aliongea huku akiwahi maskani kwake,

*******

Usiku Hospitalini Kiomboi

Dokta Kimei alikuwa nyumbani kwake, kwani siku hiyo alikua na zamu ya mchana,

Alikua anawaza Kama atoke kidogo ama alale,.

"Haya maisha haya, Bora kuoa tu, ona Sasa sijui hata nafanyaje saa hii hapa"
Dokta Kimei aliwaza huku akiingia chumbani kwake,

"Trii triii"

Ilikua sauti ya ujumbe mfupi kwenye simu yake

"TEMBO MMOJA HATARINI KUWA MAKINI LEO USIKU"

Ulisomeka ujumbe huo wa simu, kwa haraka alidhani amekosea kuelewa lakini baada ya muda aliunganisha hisia zake na ujumbe ule kuwa Mzee Mnyoka Yuko hatarini,

******

Wakiwa tayari kitandani baada ya mahaba mazito Furaha Sasa alianza kusinzia , Frank alisimama na kuvaa nguo zake kimya kimya halafu akatoa kichupa kidogo Kama pafyumu hizi akapuliza kwenye viganja vyake, Kisha akawa anamshika mshika Furaha usoni, Furaha Sasa alijisikia Kama anapaa katikati ya bahari,

Baadae usingizi mzito unampitia...

"Good sweetheart"
Frank alisema Kisha akatoka mle chumbani Hadi kwenye Gari lake,

Alitoa komputa yake mpakato Kisha akatoa miwani yake aliyokua ameweka kwenye koti, akawa Kama anaivuta hivi, ikaachia na memory card ikatokea pembeni akaitoa na kuiweka kwenye kisomeo chake Kisha akafungua mafaili yake,

Alipitia picha mjongeo Kama dakika 6 hivi , picha zilionyesha mazingira ya hospitali na chumba Cha Mzee Mnyoka pamoja na ule mlango wa dharula..

Kisha akazima komputa na kurudishia Ile miwani, akatoa bastola yake ,

Akawasha Gari na kuelekea hospitali..
 
KESI YA MZEE MNYOKA 14

Mnyoka alikua amelala kitandani huku mawazo yake yakiwa mbali kiasi,

Aliona Kama misheni hii inachukua muda mno, alishachoka kukaa pale kitandani,

Mzee Omari alikua Sasa akikoroma kwenye kitanda kingine pembeni yake, Mzee Mnyoka alimhurumia sana Rafiki yake huyo kwa kupata kazi ya kulala na mgonjwa fake,

Ni wakati anatafakari tafakari ndipo taa zikazimika ghafla,

Mzee Mnyoka alihisi umeme umekata tu Na dakika si nyingi genereta litawaka,

Kama inavyokua siku zote, hata hivyo dakika tatu zilipita na Sasa Hali ya taharuki pale hospitali ilianza, Mzee Mnyoka Sasa "machale yalimcheza"

Akashuka Kitandani na kuvaa viatu vyake, Kisha akafungua mlango wa chooni, akafungulia maji yatiririke

*********

Frank alipaki Gari kidogo na hospitali upande wa nyuma Kisha akavaa nguo zake za kidaktari, alishasoma mazingira asubuh Ile na kurekodi Baadhi ya maeneo nyeti ikiwemo sehemu ya kuunganishia umeme kwa jengo zima, alipita kwa kujiamini Kama daktari akapita nyuma ya maabara na kutokea kwenye sehemu ya mfumo wa umeme, hivyo alifungua kwenye box Kisha akatupia kitu Kama kigololi hivi Kisha akapiga hatua kuelekea wodi ya wanaume, Ni baada ya hatua kadhaa mlipuko mdogo ukatokea kwenye lile box na kukawa na giza Totoro,.....
Alishaelewa mpaka mafundi wagundue tatizo Ni baada ya robo saa na Hadi kutatua tatizo Ni nusu saa nyingine au lisaa limoja, hivyo alijiwekea dakika 12 za kumaliza kazi yake ya "kuondoka na uhai" wa Mzee Mnyoka halafu apotee zake,

Dawa aliyompaka Furaha ingechukua masaa 5 mpaka sita kuamka, hivyo alitaka afanye mishe zake Kisha arudi kwa Furaha kulala,

************

Dokta Kimei Sasa aliondoka Haraka kwenda Hospitali, aliona potelea pote Ni Bora amtoroshe Mzee Mnyoka pale Hospitali kwanza alitaka amchukue pale kwake Kisha amhamishie mbali zaidi lakini kwa usiku ule hakuona Ni busara kumuacha hospitali..

Alitoka pole pole na Gari yake na Kisha akapaki nje ya Geti kuu, hakupata tabu yoyote kupita maana alikua anakwenda Mara nyingi usiku Kama kukiwa na wagonjwa wa dharula, Ni wakati anakaribia geti kuu Mara umeme ukakata! Dokta Kimei Sasa aligeuka nyuma kuangalia Kama umeme umekata "kote" na kuona Ni pale hospitali tu,..

"Shiiit" dokta Kimei Sasa aligeuka nyuma kupiga hatua za haraka kupitia njia ya mkato kwenda chumbani kwa Mzee Mnyoka,

Aliamua kupitia ule mlango wa dharula hata hivyo aliamua kwanza kusikilizia kwa kutegea sikio Kama kutakua na dalili zozote za fujo,..

Akiwa pale nyuma ya kile chumba ndio akasikia dirisha likifunguliwa na taratibu akaona miguu inatoka na hatimaye mtu akaruka dirishani akapepesuka kidogo Kisha akasimama sawa!

Ndipo Sasa Dokta Kimei akapigwa na mshangao,

Mzee Mnyoka!

Alikua anataka kucheka lakini mwishowe akatingisha kichwa tu,

"Mzee twende, Mimi Kimei!"

Alimshika mkono Mzee Mnyoka ambaye alikua amestuka kidogo Kisha wakatoka mbio kutokea kwenye geti kubwa na kuingia kwenye Gari,

Dokta Kimei Sasa hakujua aanzie wapi kumuuliza Mzee Mnyoka,

Hata hivyo aliendesha Gari mpaka kwake baada ya kufunga vizuri milango yote, Sasa Dokta Kimei akamuangalia Mzee Mnyoka Kisha akaanza kucheka,

"We Mzee ,haya Sasa niambie umewezaje kuruka pale?"

Dokta Kimei aliuliza huku akicheka,

"Na wewe ulikua unafanyaje nyuma ya chumba pale, ningejuangukia Sasa!"

Mzee Mnyoka alisema nae akicheka,

********

Frank alifungua mlango pole pole huku bastola ikiwa mkononi,

Kwa kutumia tochi yake ndogo alimulika pale kitandani kwa Mzee Mnyoka na kuona Hakuna mtu, alimulika kitanda kingine na kumuona Mzee Omari akikoroma tu, alisikia maji yakimwagika chooni, akahisi Mzee Mnyoka alikua huko,

Alisubiri dakika mbili akaona amfwate huko huko

Alifungua mlango kwa tahadhari
"Shit!"

Aliachia msonyo mkali baada ya kuona dirisha lipo wazi na Mzee Mnyoka hayupo Sasa hasira zilimjaa na akatoka nje kwa haraka,

: ********************************************

Saa 5: 40 usiku Kijijini Kinjeki

Oscar alikua karibu kabisa na geti la kuingilia Mgodini, kwa maelezo ya yule Kijana ilikua wazi kuwa kuna wageni watakuja na kutokana na "tukio" la juzi usiku Ni wazi kuwa kikao Cha dharula Cha Wenye Mali kingefanyika,

Alivuta subra na ndipo kwa mbali akaona magari mawili yakiingia, yalipitiliza moja kwa moja ndani ya geti na kwenda kupaki...

Oscar alizunguuka nyuma kabisa na Kunyata Kisha akasogea kuelekea zilipo Ofisi,..

Safari hii alitaka kuwajua tu hao wahusika, kwahiyo alizidi Kunyata na kusogea jirani kabisa na Ofisi hiyo,

Walinzi wengi walikua upande wa mbele wakipokea wageni, hivyo ilimsaidia kujongea karibu zaidi bila kuonekana, alitoa kisu huku akijibingirisha kwa namna ya kukwepa kamera na hatimaye akawa ukutani kabisa mwa jengo lile, aliona asuburi kwanza waheshimiwa waingie ndani ya jengo,

*********

"Jamani Mume wangu! Jamani Mume wangu!"

Sasa mama Monica alikua akiendelea kulia mfulululizo,

Mzee Omari Sasa alikua Hana maelezo ya kutosha zaidi ya kusema yeye alipitiwa na usingizi na aliamshwa kutokana na makelele ya kukosekana kwa umeme na aliposhtuka hakumuona Mzee Mnyoka,

Sasa msako ulianza pale hospitali na taarifa Sasa zikafika kwa Mganga mkuu wa hospitali Kiomboi,

Ambaye Sasa aliwatumia madaktari wake ujumbe wa "kupotea ghafla" kwa mgonjwa,
Dokta Kimei Sasa alichanganyikiwa baada ya kupata taarifa hizo za "kutafutwa" kwa Mzee Mnyoka,

"Mzee Mnyoka unatafutwa kule hospitali! Sasa tunafanyeje?"

Dokta Kimei alimgeukia Mzee Mnyoka,

"Kumbuka kukaa kwako pale hospitali hata dokta mkuu alikua anauliza Mara nyingi Sana, hivyo kwa suala hili kuwa wewe ndio ulikua unatafutwa itakua shida"

Dokta Kimei alisema

**********
Oscar alipata wazo la kupitia kule stoo kwa makusudi kabisa asubuhi Ile alitegesha dirisha, hivyo Kama halikufungwa ingekua rahisi kwake kuingia,

Hivyo alijivuta taratibu mpaka kwenye dirisha la store, na Kama bahati lilikua vile vile alivyolitega,

Alilisukuma pole pole, Kisha akapita ndani,

Kulikua na giza Totoro ndani na kwa akili ya haraka alijua hao wageni watakua kwenye ukumbi wakifanya kikao chao,

Alipanda juu ya mabox kadhaa Kisha akatoa mfuniko wa kwenye dari akaingia, alipanda kuelekea usawa wa ukumbi kwa tahadhari kubwa,..

Alifika na kutega masikio lakini Hali ilkua kimya kabisa,..

"Watakua wapi?"

Alijiuliza Maswali

Alisogea kabisa na kutoa kisu chake Kisha pole pole akatengeneza shimo dogo hivi akafungua begi lake na kutoa waya mdogo hivi Kama USB akautumbukiza pale Kwenye shimo pole pole, Kisha akatoa kitu Kama simu janja , akachomeka ule waya,

Sasa alikiwasha kile kifaa na Sasa mazingira ya ukumbi yakawa kiganjani mwake,..

Hakukuwa na mtu!

Oscar alizidi kuduwaa, na Kisha akaamua liwalo na liwe akatoa mfuniko na kushuka chini ya ukumbi, alitembea kwa haraka pembezoni na mwishowe wazo lilimjia kusogea mbele zaidi mwisho wa ukumbi,

Ukumbi ulikua umewashwa taa moja tu mwanga ulipatikana kupitia taa za nje,

Oscar Sasa alijaribu kuwaza walipo hawa wageni katika jengo Hili,

"Labda watakua kwenye ofisi mojawapo"

Aliwaza akizidi kusogea Sasa kwenye mlango wa mbele...

**********

Frank alirudi na kujilaza Kama kawaida,...

Furaha alikua amelala fofofo,

Aliwaza Nani alimstua Mzee Mnyoka mpaka akaamua kutoroka....

Ni wazi kuwa mipango ya kumuua Mzee Mnyoka imevuja! Na bila shaka kule kule ofisini kwao Kuna mtu alipata taarifa au Kuna msaliti katikati yao,

Frank Sasa alizidi kuwaza huku akifikiria Jambo la kumuambia boss wake,.

Mr Bill kesho asubuhi..
 
Back
Top Bottom