Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

Nakumbuka Barrack Obama alipoapishwa kwa awamu yake ya pili ya Urais kiapo chako kilikosewa wakati akiapa. Hivyo ilimbidi akirudie tena alipokuwa White House. Sasa kama hiki alichokiapa hakijakidhi itabidi kirudiwe tena.
Yeah, nimeitaja hiyo issue hapo juu.

Kimsingi ukikosea kiapo hujawa rais bado, kwa sababu rais ni lazima aapishwe kwa kiapo halali.
 
Sawa, leo kwako kesho kwangu,
Wacha nifurahie na wewe zamu yako ikifika unawezafanya.
Hongera kwako wewe usio sehemu ya huu mshangao wa kiapo tofauti. Na kwamba wewe ni sehemu ya waapaji kwa hiyo unawapa pole wasio sehemu hiyo.
 
Muulize Jaji Mkuu anayeandaa kiapo hicho
 
I think the more fundamental question is, who’s responsible for the textual specification of the oath? Is it the oath taker or the oath administrator?
 
Umewahi kujiuliza na ukapata jawabu kuwa kile kiapo cha Rais Kimetungwa na nani...mwenye jawabu atujuze humu.
We inherited it from colonial systems and adopted it to single political system and now to multiple system,that why sound confusing
 
We inherited it from colonial systems and adopted it to single political system and now to multiple system,that why sound confusing
Do you mean that we inherited the whole Katiba from colonialists?
 
Kinachofata na katiba kuwekwa pembeni then anakuwa Rais mpaka anafia madarakani huku akimwachia nchi mtoto wake au ndygu yake.
 
Kiapo chenyewe kina maana gani?
 
unafukuza wenye vyeti feki alafu unapata uongozi kwa kura feki hakika tungeishi milele hapa duniani tungetesana sana ila tunapita tu vyote vina mwisho
 
Mtenge hata muda wa kufuatilia yanayoendelea na sio ku comment upuuzi tu.Angalieni TV zetu mjue alichotamka na sio kupotosha umma.
 
I think the more fundamental question is, who’s responsible for the textual specification of the oath? Is it the oath taker or the oath administrator?
What do you mean by "responsible for" ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…