Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Messi anastahili hii tuzo mwaka huu, ndomana baada ya kuchukua WC tim Ronaldo mlianza kelele
Embu tuachane na bias tuongee kiutu uzima.. tuzo za ballon dor zinajumuisha perfomance ya mchezaji mwaka mzima na world cup ni mashindano ya mwezi mmoja tu kumbuka 2010 iniesta alichukua world na tuzo ikaenda kwa messi kwa kigezo cha kwamba alikua na magoli mengi kwa msimu ule, kwa msimu jana na msimu huu so far halaand ana magoli mengi kushinda messi tusubiri kuona hicho kigezo kilichompa messi tuzo mbele ya iniesta kama kitatumika kumpa tuzo halaand leo. Binafsi naona utawala wa messi na ronaldo umesababisha kusiwe na mantiki ya kiushindani kwenye hizi tuzo. Vigezo vinavyopewa kipaumbele kupatikana mshindi vimekua vikibadilika kuwabeba messi na ronaldo, katika utawala wa hao jamaa wawili kuna miaka ambayo iniesta, sneidjer, ribery, neur n.k walifanyiwa utaperi
 
Ni Kweli upendeleo wa Ronaldo na Messi, umewanyima wengi ballon d'or
 
Leo mtalia sana kama uchambuzi tulishafanya siku nyingi sana,
 
Mbona hilo tulishawahi kulijadili sana hapa. Ule mwaka 2010 ambao Iniesta alikuwa kwenye kiwango bora zaidi lakini tuzo akapewa Messi, pale Messi alibebwa, hakustahili.

Lakini kwa mwaka huu, Messi amekuwa bora zaidi, ana haki ya kupewa hiyo tuzo. Asipopewa maana yake ameonewa.
 
Messi hastahili hii tuzo
 
Embu tuachane na bias tuongee kiutu uzima.. tuzo za ballon dor zinajumuisha perfomance ya mchezaji mwaka mzima na world cup ni mashindano ya mwezi mmoja tu kumbuka 2010 iniesta alichukua world na tuzo ikaenda kwa messi kwa kigezo cha kwamba alikua na magoli mengi kwa msimu ule, kwa msimu jana na msimu huu so far halaand ana magoli mengi kushinda messi tusubiri kuona hicho kigezo kilichompa messi tuzo mbele ya iniesta kama kitatumika kumpa tuzo halaand leo. Binafsi naona utawala wa messi na ronaldo umesababisha kusiwe na mantiki ya kiushindani kwenye hizi tuzo. Vigezo vinavyopewa kipaumbele kupatikana mshindi vimekua vikibadilika kuwabeba messi na ronaldo, katika utawala wa hao jamaa wawili kuna miaka ambayo iniesta, sneidjer, ribery, neur n.k walifanyiwa utaperi
Naked truth
 
Back
Top Bottom