Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Ndugu yenu huyu hapa
IMG_3612.jpg
 
Ile save ya dakika ya mwisho kwenye fainal ilikuwa moto[emoji91][emoji91]
Sikumbuki vzr nani alikosa alipiga kwa papala sana ile save ndio iliwapa ubinhwa argentina nilishangaa sana kuona man of the match alichukua messi, yaani ile chanve ingemkuta cleanical finisher kama lewandowski au cristiano pale ufaransa alikua anabeba ndoo
 
Mbona hilo tulishawahi kulijadili sana hapa. Ule mwaka 2010 ambao Iniesta alikuwa kwenye kiwango bora zaidi lakini tuzo akapewa Messi, pale Messi alibebwa, hakustahili.

Lakini kwa mwaka huu, Messi amekuwa bora zaidi, ana haki ya kupewa hiyo tuzo. Asipopewa maana yake ameonewa.
Ikienda kwa messi pia ni sawa kwa mtazamo wangu nafikiri halaand ndie anastahili zaidi hii tuzo kwa usiku wa leo
 
Back
Top Bottom