Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #61
Tuzo ya Mfungaji Bora/ Gerd Muller Trophy: Erling Haaland
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaona aibuWatu tunataka tukalale bhana wafanye fasta ,[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika mkuuWatu tunataka tukalale bhana wafanye fasta ,[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hiyo wengine waonewe ili Messi ashinde.Mbona hilo tulishawahi kulijadili sana hapa. Ule mwaka 2010 ambao Iniesta alikuwa kwenye kiwango bora zaidi lakini tuzo akapewa Messi, pale Messi alibebwa, hakustahili.
Lakini kwa mwaka huu, Messi amekuwa bora zaidi, ana haki ya kupewa hiyo tuzo. Asipopewa maana yake ameonewa.
Mambo ya kisengerema hayaTuzo ya Mfungaji Bora/ Gerd Muller Trophy: Erling Haaland
Tuzo ya Mfungaji Bora/ Gerd Muller Trophy: Erling Haaland
Nani sasa anastahili kama sio Messi?Messi hastahili hii tuzo
Basi ballon d'or ya messi, wamempa hilo bati ili kumpoza kama walivyofanya kwa Lewandowski [emoji23]Tuzo ya Mfungaji Bora/ Gerd Muller Trophy: Erling Haaland
HallandNani sasa anastahili kama sio Messi?
Punguza jazba mkuuMambo ya kisengerema haya
TayariTuzo ya Mfungaji Bora/ Gerd Muller Trophy: Erling Haaland
Mimi nimekupa facts.Kwa hiyo wengine waonewe ili Messi ashinde.
Ila Messi yeye asionewe ili abebe taji lake mwenyewe?
Hii akili ya wapi?
Inamtosha hio akalale sasa!Tuzo ya Mfungaji Bora/ Gerd Muller Trophy: Erling Haaland
Ndio mm ni handsome SanaSawa wewe mwenye mvuto[emoji41]
Kipa bora wa Mwaka/ Yacine Trophy: Emiliano Martinez save of century. Dhifi ya Kolo Muani wc fsinsl.
Wewe ni msengerema?Mambo ya kisengerema haya
Unasema hivyo huku kuna njemba ipo nyuma yako,Ndio mm ni handsome Sana
Naked truth,Mimi nimekupa facts.
Mwaka 2010 Messi alipewa tuzo lakini hakustahili mbele ya Iniesta.
Mwaja huu 2023 Messi anastahili haijarishi atapewa ama hatapewa.
Huyo ni Nani?