Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Sikumbuki vzr nani alikosa alipiga kwa papala sana ile save ndio iliwapa ubinhwa argentina nilishangaa sana kuona man of the match alichukua messi, yaani ile chanve ingemkuta cleanical finisher kama lewandowski au cristiano pale ufaransa alikua anabeba ndoo

Man of the match anachaguliwa ndani ya dk 90 za kwanza. Kuanzia 60 min to 90 … Kuanzia hapo hata ufunge magoli kumi hupewi man of the match.
 
Hii ilikuwa sio powa aisee
Screenshot_20231031-000159.jpg
 
Ronaldo moja kati ya wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea na moja ya wachezaji wenye mwisho mbaya zaidi kwenye carrier zao
Kipi kinakufanywa useme Ronaldo ana mwisho mbaya ...Mtu ambae kawaachia kazi kubwa sana vijana wanaocheza mpira yan kawaachia record nying ambazo inabid wavunje ili kuingia kwenye historia

NOTE
ukiwa shabiki wa mpira hauwez kuongea upuuzi kuhusu awa watu wawili sababu wamewaachia vijana kazi kubwa ya kuvunja record zao
 
Soma uelewe kabla ya kureply, nimesema Ronaldo ni bora sana ila mwisho mbaya ni pamoja na hiyo rank aliyopata na 0 vote kitu ambacho haijawahi kutokea, yaani kwa hiyo rank amepitwa hata na konkoni
 
Back
Top Bottom