Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Ronaldo moja kati ya wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea na moja ya wachezaji wenye mwisho mbaya zaidi kwenye carrier zao
_20231031_001039.JPG
 
Soma uelewe kabla ya kureply, nimesema Ronaldo ni bora sana ila mwisho mbaya ni pamoja na hiyo rank aliyopata na 0 vote kitu ambacho haijawahi kutokea, yaani kwa hiyo rank amepitwa hata na konkoni
Hio ni edit tu ilipostiwa tweeter, sio kweli,
Hiv unadhani ni kweli CR7 akose hata kura za kocha wa Ureno na Captain wa Ureno ?
 
Alifanya nini ?

Maradona aliujua mpira akashinda almost kila kitu akiwa na w cup kwa nguvu zake mwenyewe, akikumbukwa kwa goli bora labda kuwahi kutokea tena katika stage kubwa, akikumbukwa kwa goli la mkono wa mungu… , Lakini mwisho wake ulikuwa mbaya sana , kesi , madawa, ubakaji, kufilisika na mambo mengine mabaya unayoyajua wewe.

CR7 hajafika hata robo ya uwezo wa Diego .

Cc [mention]The Underdog X [/mention]
 
Back
Top Bottom