Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hawa jamaa wanatutukana kila siku ni hawa hawa wakenya. Hakuna nchi yoyote Africa inayoweza kumtukana mtanzania.Dont ignore us, up to know I'm in a great pain because my english is poor because of liberating you but now you are insulting us for our hospitality, shame on you
Watanzania wanaheshima kubwa hapa Africa.
Hawa wakenya wanatumiwa kwa lengo mahususi.
Kufanya umoja na wa wakenya upumbavu tu.
Unaona Rais wao alivyohaha baada ya Mbunge wao kuleta vya kuleta. Hii ni tabia ya wakenya. We need to be careful with them. They are not among us.