Hahaha what's comrade Ramaphosa says about Tanzania economy

Hahaha what's comrade Ramaphosa says about Tanzania economy

Dont ignore us, up to know I'm in a great pain because my english is poor because of liberating you but now you are insulting us for our hospitality, shame on you
Hawa jamaa wanatutukana kila siku ni hawa hawa wakenya. Hakuna nchi yoyote Africa inayoweza kumtukana mtanzania.

Watanzania wanaheshima kubwa hapa Africa.
Hawa wakenya wanatumiwa kwa lengo mahususi.
Kufanya umoja na wa wakenya upumbavu tu.
Unaona Rais wao alivyohaha baada ya Mbunge wao kuleta vya kuleta. Hii ni tabia ya wakenya. We need to be careful with them. They are not among us.
 
Tanzania tunasonga mbele huku wengine walichobakiwa nacho ni chuki na wivu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanachuki sana wakituona tupo busy na SADC, hawapendi wanatamani wangekuwa wao

Tena washukuru sana tunashare mpaka nao sababu ukiangalia nchi iliyoimarika na yenye uchumi imara ni Tanzania kwenye hii region, huko Ethiopia, South Sudan, Somalia, Uganda wote hawana time na Kenya, Ethiopia mwenye haueni ndio kabisa hataki kusikia neno Kenya kwenye masikio yake.

So Kenya yupo kama mjane, akisikia Tanzania yupo na his Co Big Brothers hana time na Kenya ndio wanachanganyikiwa kabisa.
 
Huo ushauri mlifaa kuutumia kujishauri, kwamba mnapoteza muda kuja kututambia huku kwenye jukwaa la Wakenya misifa mnayopewa na hao akina Ramaphosa na kusahau hayo kwa leo hayana umuhimu mkubwa, kilicho cha maana ni ajira kwa vijana wa leo ambao hata hawamjui Mandela wala huyo Nyerere. Hawana muda na hiyo misifa, wanataka fursa, vyuma vimekaza kila kukicha.
Mlifaa kukaa muwaze jinsi gani ya kutumia fursa ya uhusiano mwema na hao Wasouth kupiga biashara ya nguvu na kujikomboa kutoka kwenye umaskini, bado mnajitetea eti mpo maskini kisa mliikomboa Afrika, miaka yote hii bado mnaikomboa Afrika?
Hebu ona hii picha hapa chini bado mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa....sio Afrika, yaani dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi maskini wa kutolewa nje nje, mkihojwa mnajitetea eti mliikomboa Afrika

focuseconomics_poorest_countries_nov_2018-01.png
mkuu somalia...sudan kusini..liberia..sierra Leone na wengine wengi wote hao wanakimbiza BOngo?
embu angalia hii list hapa
 
Tatizo hawana utu hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanachuki sana wakituona tupo busy na SADC, hawapendi wanatamani wangekuwa wao

Tena washukuru sana tunashare mpaka nao sababu ukiangalia nchi iliyoimarika na yenye uchumi imara ni Tanzania kwenye hii region, huko Ethiopia, South Sudan, Somalia, Uganda wote hawana time na Kenya, Ethiopia mwenye haueni ndio kabisa hataki kusikia neno Kenya kwenye masikio yake.

So Kenya yupo kama mjane, akisikia Tanzania yupo na his Co Big Brothers hana time na Kenya ndio wanachanganyikiwa kabisa.
 
Tatizo hawana utu hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Wana gonjwa la kutengwa na kila mtu, Kenya hana maelewano mazuri na nchi yoyote jirani ambayo kweli inaweza ku lean on his shoulders as brothers, US inayo Canada his closet ally, Tanzania inazo utitiri huku SADC na hata EAC tunao Uganda

Wao hawana nchi yoyote ambao kweli wameshibana kiasi cha kuelezana siri za chumbani 😂😂😂 yaani ni kisirani hana jema na yeyote.
 
Hehehe! Nasoma povu zenu, ila ndio hivyo, lazima niwape ukweli huo ili uwaweke huru, maisha ya leo sio ya kupoteza muda mkikenua meno kisa kusifiwa, chapa kazi, tumia fursa vizuri sio kulala usingizi wa uzembe.
Ndugu zenu wanatusumbua huku wamejazana barabarani wakiombaomba, muwakomboe kutoka kwa umaskini.

Dah asee hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wana gonjwa la kutengwa na kila mtu, Kenya hana maelewano mazuri na nchi yoyote jirani ambayo kweli inaweza ku lean on his shoulders as brothers, US inayo Canada his closet ally, Tanzania inazo utitiri huku SADC na hata EAC tunao Uganda

Wao hawana nchi yoyote ambao kweli wameshibana kiasi cha kuelezana siri za chumbani [emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni kisirani hana jema na yeyote.
 
Ukweli gani huu, kuna tofauti kubwa sana kati ya wivu/chuki na ukweli, huu wako ni chuki na wivu.
Mngekua mnachapa kazi mngekuwa hamnunui chakula chochote [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kushinda JF kueneza chuki zako
Hehehe! Nasoma povu zenu, ila ndio hivyo, lazima niwape ukweli huo ili uwaweke huru, maisha ya leo sio ya kupoteza muda mkikenua meno kisa kusifiwa, chapa kazi, tumia fursa vizuri sio kulala usingizi wa uzembe.
 
Ukweli gani huu, kuna tofauti kubwa sana kati ya wivu/chuki na ukweli, huu wako ni chuki na wivu.
Mngekua mnachapa kazi mngekuwa hamnunui chakula chochote [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kushinda JF kueneza chuki zako

Muwakomboe hawa kwanza

Dah asee hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatakaa wawe na status ya Tanzania mbele za comrades wetu, Tanzania ni darling of Pan-Africanists, sweetheart of African Brotherhood tumesheni history nyingi na nchi za Afrika na ndio maana Tanzania inaheshima ya pekee

Eti wao wanafikiri ubepari tu all the time ndio suluhisho la kila kitu, material things haitoipeleka popote na tayari imeshaprove failure sababu bado wanakufa na njaa 😂😂😂
 
He he,sasa hawa ndugu zenyu kutoka africa kusini kila kuchao wanazidi kuwadhulumu waafrica wenzao kutoka nchi zingine za africa ikiwemo wabongo,sasa faida ya kuwakomboa ilikua gani?
 
Hawa jamaa wana matatizo sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatakaa wawe na status ya Tanzania mbele za comrades wetu, Tanzania ni darling of Pan-Africanists, sweetheart of African Brotherhood tumesheni history nyingi na nchi za Afrika na ndio maana Tanzania inaheshima ya pekee

Eti wao wanafikiri ubepari tu all the time ndio suluhisho la kila kitu, material things haitoipeleka popote na tayari imeshaprove failure sababu bado wanakufa na njaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehehe hii single ilishachuja, naona mmeishiwa insult, Tuletee currently video ya leo ya kwamba bado wapo.

Hawa hapa wa juzi tu, yaani wamekua kero wanatia huruma kwa kweli, tunawasaidia maana ni maskini tatizo wengi wanakuja bila vibali. Kama hawa hapa wamekamatwa kisa vibali

Hawa jamaa wana matatizo sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka saivi wameshatua marais 8 wa Africa kwenye ardhi ya Tanzania ,wamekuja kuhiji to the sacred heart of their liberation, hilo halitokaa liwe jambo dogo hata siku na moja, we paid expenses for this na ni fahari yetu.

Unajua unaweza kua tajiri wa pesa lakini usiheshimiwe pamoja na pesa zako zote, hii dignity tuliyonayo mbele za hawa comrades ni zaidi ya utajiri 😂😂😂 japo vile vile sie matajiri kuwazidi 😭😭
 
Kuishi na jirani kama Kenya inaitaji roho ya chuma wamejaa chuki toka kwenye unyayo mpaka kisogoni

Siku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.

Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
 
Back
Top Bottom