babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Unaelewa maana ya neno JUZI?
Hawa hapa wa juzi tu, yaani wamekua kero wanatia huruma kwa kweli, tunawasaidia maana ni maskini tatizo wengi wanakuja bila vibali. Kama hawa hapa wamekamatwa kisa vibali