Hahaha what's comrade Ramaphosa says about Tanzania economy

Unaelewa maana ya neno JUZI?
Hawa hapa wa juzi tu, yaani wamekua kero wanatia huruma kwa kweli, tunawasaidia maana ni maskini tatizo wengi wanakuja bila vibali. Kama hawa hapa wamekamatwa kisa vibali

Hawatakaa wawe na status ya Tanzania mbele za comrades wetu, Tanzania ni darling of Pan-Africanists, sweetheart of African Brotherhood tumesheni history nyingi na nchi za Afrika na ndio maana Tanzania inaheshima ya pekee

Eti wao wanafikiri ubepari tu all the time ndio suluhisho la kila kitu, material things haitoipeleka popote na tayari imeshaprove failure sababu bado wanakufa na njaa 😂😂😂
Viva comrade viva
hiyo ndiyo lugha ya ukombozi wetu.
COMRADE
 
Bongo mnatia huruma sana,hawa ndugu zenyu-black south africans hawatambui the rest of africa tupilia mbali Tz,wanaidharau sana,ukifika SA wanakushangaa yaani umetoka africa?kanakwamba SA ipo america ama australia
 
Wanapenda kujikomba komba kwa hao Wasouth ila hawatambuliwi kwa chochote nje ya matamko ya kisiasa.
Na itakuuma sana wala sio kidogo
Sie wa South buana ninyi pambaneni na Somalia na Sudan huko penye ziki, Ethiopia yupo busy na dji na Eritrea hana time na ninyi, Mganda yupo busy na Tanzania na DRC, mmeachwa hapo kama mmejinyea 😂😂😂😂
 
Afadhali tujikombe kwa waafrika wenzetu kuliko ninyi mnaojikomba kwa wazungu,
Nilisahau pia kumbe hata ninyi mnajikomba kwetu kwenye chakula [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapenda kujikomba komba kwa hao Wasouth ila hawatambuliwi kwa chochote nje ya matamko ya kisiasa.
 
Aibu kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka saivi wameshatua marais 8 wa Africa kwenye ardhi ya Tanzania ,wamekuja kuhiji to the sacred heart of their liberation, hilo halitokaa liwe jambo dogo hata siku na moja, we paid expenses for this na ni fahari yetu.

Unajua unaweza kua tajiri wa pesa lakini usiheshimiwe pamoja na pesa zako zote, hii dignity tuliyonayo mbele za hawa comrades ni zaidi ya utajiri [emoji23][emoji23][emoji23] japo vile vile sie matajiri kuwazidi [emoji24][emoji24]
 
Ukweli gani unasema wewe, au unataka kutuleletea ukabila [emoji23][emoji23][emoji23] Pambana na ukabila kwanza mbumbumbu kinoma
Siku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.

Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
 
Nani awatambie nyie wapumbavu tu.
Kipi cha maana sana mnacho!?
 
Siku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.

Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
Nili itegemea hii comment kuishi na watu wasio pendana kama wakenya inaitaji moyo
 
Viva comrade viva
hiyo ndiyo lugha ya ukombozi wetu.
COMRADE
Viva comrade vivaaaaa
Aluta continua,

Bora Umeeleza sababu wengine kuzielewa hizi terminologies za mashujaa ni mtihani, wameshazoea kulamba matako ya beberuz.
 
What is the SA export got to do with a show of our benefits? From the Balance of trade Tanzania exports more than it imports from SA!
 
Bongo mnatia huruma sana,hawa ndugu zenyu-black south africans hawatambui the rest of africa tupilia mbali Tz,wanaidharau sana,ukifika SA wanakushangaa yaani umetoka africa?kanakwamba SA ipo america ama australia
Sasa unamfundisha nani hali ya South Africa? Mtanzania? Hahaaa Mtanzania anaenda South Africa kwa gari, wewe mkenya huko jangwani ndio umfundishe Mtanzania maisha ya South Africa? Unachekesha

Wewe tufundishe maisha ya Mogadishu huko ndio hatujui.
 
He he MK254 hawa bongo ni drama queens kweli,wapo wapo tu,hawajui dunia inavofanya kazi,no wonder hadi leo wamekwama kwa mambo ya upuzi ambayo haina faida kama liberation struggles,its 2019 for fucks sake,move on,cha kushangaza ni ati kwa shughli za uchumi hawapo top 15 na hawa ndugu zao ambao waliwakomboa.
 
Siku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.

Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
Hela sio kila kitu ww punguani
 
Reedemer,kweli kabisa,mtanzania anasafiri SA na gari,kwenda kuishi pale hillbrow kama drug pusher na wengine kama housemaids na shamba boys,halafu xenophobia ikianza jamaa anawekwa tyre na kuchomwa,indeed viva comrades
 
Sasa unamfundisha nani hali ya South Africa? Mtanzania? Hahaaa Mtanzania anaenda South Africa kwa gari, wewe mkenya huko jangwani ndio umfundishe Mtanzania maisha ya South Africa? Unachekesha

Wewe tufundishe maisha ya Mogadishu huko ndio hatujui.
Tanzania sells each medical related goods to the rest of SADC, only a single supplier, sasa Sielewi Unaongea nini kuhusu business kati ya Tanzania na SADC, after all stats zinaonesha Tanzania is selling more to SADC than EAC

Reedemer,kweli kabisa,mtanzania anasafiri SA na gari,kwenda kuishi pale hillbrow kama drug pusher na wengine kama housemaids na shamba boys,halafu xenophobia ikianza jamaa anawekwa tyre na kuchomwa,indeed viva comrades
Tanzania inauza mazao yake mengi sana SA pamoja na bidhaa nyingine lakini pia Watanzania wengi waliopo SA ni wafanyabiashara wa magari kuleta Tanzania au nchi nyingine za Southern Africa pamoja na madini incase you don't know.
 
Redeemer,tanzania can continue selling low value food crops to SA which will have minimal impact to livelyhoods of tanzanians,meanwhile SA will continue exporting high value manufactured goods to Tz.
 
Back
Top Bottom