Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hawa jamaa wanatutukana kila siku ni hawa hawa wakenya. Hakuna nchi yoyote Africa inayoweza kumtukana mtanzania.Dont ignore us, up to know I'm in a great pain because my english is poor because of liberating you but now you are insulting us for our hospitality, shame on you
Wanachuki sana wakituona tupo busy na SADC, hawapendi wanatamani wangekuwa waoTanzania tunasonga mbele huku wengine walichobakiwa nacho ni chuki na wivu [emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu somalia...sudan kusini..liberia..sierra Leone na wengine wengi wote hao wanakimbiza BOngo?Huo ushauri mlifaa kuutumia kujishauri, kwamba mnapoteza muda kuja kututambia huku kwenye jukwaa la Wakenya misifa mnayopewa na hao akina Ramaphosa na kusahau hayo kwa leo hayana umuhimu mkubwa, kilicho cha maana ni ajira kwa vijana wa leo ambao hata hawamjui Mandela wala huyo Nyerere. Hawana muda na hiyo misifa, wanataka fursa, vyuma vimekaza kila kukicha.
Mlifaa kukaa muwaze jinsi gani ya kutumia fursa ya uhusiano mwema na hao Wasouth kupiga biashara ya nguvu na kujikomboa kutoka kwenye umaskini, bado mnajitetea eti mpo maskini kisa mliikomboa Afrika, miaka yote hii bado mnaikomboa Afrika?
Hebu ona hii picha hapa chini bado mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa....sio Afrika, yaani dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi maskini wa kutolewa nje nje, mkihojwa mnajitetea eti mliikomboa Afrika
Wanachuki sana wakituona tupo busy na SADC, hawapendi wanatamani wangekuwa wao
Tena washukuru sana tunashare mpaka nao sababu ukiangalia nchi iliyoimarika na yenye uchumi imara ni Tanzania kwenye hii region, huko Ethiopia, South Sudan, Somalia, Uganda wote hawana time na Kenya, Ethiopia mwenye haueni ndio kabisa hataki kusikia neno Kenya kwenye masikio yake.
So Kenya yupo kama mjane, akisikia Tanzania yupo na his Co Big Brothers hana time na Kenya ndio wanachanganyikiwa kabisa.
ππππ Wana gonjwa la kutengwa na kila mtu, Kenya hana maelewano mazuri na nchi yoyote jirani ambayo kweli inaweza ku lean on his shoulders as brothers, US inayo Canada his closet ally, Tanzania inazo utitiri huku SADC na hata EAC tunao UgandaTatizo hawana utu hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wana gonjwa la kutengwa na kila mtu, Kenya hana maelewano mazuri na nchi yoyote jirani ambayo kweli inaweza ku lean on his shoulders as brothers, US inayo Canada his closet ally, Tanzania inazo utitiri huku SADC na hata EAC tunao Uganda
Wao hawana nchi yoyote ambao kweli wameshibana kiasi cha kuelezana siri za chumbani [emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni kisirani hana jema na yeyote.
Hehehe! Nasoma povu zenu, ila ndio hivyo, lazima niwape ukweli huo ili uwaweke huru, maisha ya leo sio ya kupoteza muda mkikenua meno kisa kusifiwa, chapa kazi, tumia fursa vizuri sio kulala usingizi wa uzembe.
Ukweli gani huu, kuna tofauti kubwa sana kati ya wivu/chuki na ukweli, huu wako ni chuki na wivu.
Mngekua mnachapa kazi mngekuwa hamnunui chakula chochote [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kushinda JF kueneza chuki zako
Muwakomboe hawa kwanza
Hawatakaa wawe na status ya Tanzania mbele za comrades wetu, Tanzania ni darling of Pan-Africanists, sweetheart of African Brotherhood tumesheni history nyingi na nchi za Afrika na ndio maana Tanzania inaheshima ya pekeeDah asee hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]
He he,sasa hawa ndugu zenyu kutoka africa kusini kila kuchao wanazidi kuwadhulumu waafrica wenzao kutoka nchi zingine za africa ikiwemo wabongo,sasa faida ya kuwakomboa ilikua gani?
Hawatakaa wawe na status ya Tanzania mbele za comrades wetu, Tanzania ni darling of Pan-Africanists, sweetheart of African Brotherhood tumesheni history nyingi na nchi za Afrika na ndio maana Tanzania inaheshima ya pekee
Eti wao wanafikiri ubepari tu all the time ndio suluhisho la kila kitu, material things haitoipeleka popote na tayari imeshaprove failure sababu bado wanakufa na njaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehe hii single ilishachuja, naona mmeishiwa insult, Tuletee currently video ya leo ya kwamba bado wapo.
He he,sasa hawa ndugu zenyu kutoka africa kusini kila kuchao wanazidi kuwadhulumu waafrica wenzao kutoka nchi zingine za africa ikiwemo wabongo,sasa faida ya kuwakomboa ilikua gani?
Mpaka saivi wameshatua marais 8 wa Africa kwenye ardhi ya Tanzania ,wamekuja kuhiji to the sacred heart of their liberation, hilo halitokaa liwe jambo dogo hata siku na moja, we paid expenses for this na ni fahari yetu.Hawa jamaa wana matatizo sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuishi na jirani kama Kenya inaitaji roho ya chuma wamejaa chuki toka kwenye unyayo mpaka kisogoni