babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hawa hapa wa juzi tu, yaani wamekua kero wanatia huruma kwa kweli, tunawasaidia maana ni maskini tatizo wengi wanakuja bila vibali. Kama hawa hapa wamekamatwa kisa vibali
Viva comrade vivaHawatakaa wawe na status ya Tanzania mbele za comrades wetu, Tanzania ni darling of Pan-Africanists, sweetheart of African Brotherhood tumesheni history nyingi na nchi za Afrika na ndio maana Tanzania inaheshima ya pekee
Eti wao wanafikiri ubepari tu all the time ndio suluhisho la kila kitu, material things haitoipeleka popote na tayari imeshaprove failure sababu bado wanakufa na njaa 😂😂😂
Na itakuuma sana wala sio kidogoWanapenda kujikomba komba kwa hao Wasouth ila hawatambuliwi kwa chochote nje ya matamko ya kisiasa.
Wanapenda kujikomba komba kwa hao Wasouth ila hawatambuliwi kwa chochote nje ya matamko ya kisiasa.
Mpaka saivi wameshatua marais 8 wa Africa kwenye ardhi ya Tanzania ,wamekuja kuhiji to the sacred heart of their liberation, hilo halitokaa liwe jambo dogo hata siku na moja, we paid expenses for this na ni fahari yetu.
Unajua unaweza kua tajiri wa pesa lakini usiheshimiwe pamoja na pesa zako zote, hii dignity tuliyonayo mbele za hawa comrades ni zaidi ya utajiri [emoji23][emoji23][emoji23] japo vile vile sie matajiri kuwazidi [emoji24][emoji24]
Siku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.
Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
Nani awatambie nyie wapumbavu tu.Siku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.
Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
Nili itegemea hii comment kuishi na watu wasio pendana kama wakenya inaitaji moyoSiku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.
Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
Sasa unamfundisha nani hali ya South Africa? Mtanzania? Hahaaa Mtanzania anaenda South Africa kwa gari, wewe mkenya huko jangwani ndio umfundishe Mtanzania maisha ya South Africa? UnachekeshaBongo mnatia huruma sana,hawa ndugu zenyu-black south africans hawatambui the rest of africa tupilia mbali Tz,wanaidharau sana,ukifika SA wanakushangaa yaani umetoka africa?kanakwamba SA ipo america ama australia
Hela sio kila kitu ww punguaniSiku nyingine msije kututambia mambo ya Wasouth maana tukiwajibu kwa kuwaambia ukweli mnalialia. Mwanaume saka hela, piga kazi wacha kutosheka na misifa isiyo na tija karne hii, rais kama Ramaphosa akija, hakikisha mnajadili mambo ya maana ya jinsi gani mtaboresha mahusiano ya kibiashara, leo hii hampo hata kwenye kumi na tano bora ya wanaofaidi uhusiano mwema na Wasouth wa kibiashara.
Marais watakuja wengi kwenye hiki kikao, mtaimbiana misifa kisha watageuza badala mtumie akili kufanikisha la maana
Viva comrade vivaaaaa
Aluta continua,
Bora Umeeleza sababu wengine kuzielewa hizi terminologies za mashujaa ni mtihani, wameshazoea kulamba matako ya beberuz.
Tanzania sells each medical related goods to the rest of SADC, only a single supplier, sasa Sielewi Unaongea nini kuhusu business kati ya Tanzania na SADC, after all stats zinaonesha Tanzania is selling more to SADC than EACSasa unamfundisha nani hali ya South Africa? Mtanzania? Hahaaa Mtanzania anaenda South Africa kwa gari, wewe mkenya huko jangwani ndio umfundishe Mtanzania maisha ya South Africa? Unachekesha
Wewe tufundishe maisha ya Mogadishu huko ndio hatujui.
Tanzania inauza mazao yake mengi sana SA pamoja na bidhaa nyingine lakini pia Watanzania wengi waliopo SA ni wafanyabiashara wa magari kuleta Tanzania au nchi nyingine za Southern Africa pamoja na madini incase you don't know.Reedemer,kweli kabisa,mtanzania anasafiri SA na gari,kwenda kuishi pale hillbrow kama drug pusher na wengine kama housemaids na shamba boys,halafu xenophobia ikianza jamaa anawekwa tyre na kuchomwa,indeed viva comrades