Hahaha what's comrade Ramaphosa says about Tanzania economy

Redeemer,huna haya kunieleza ati kuna wafanya biashara wa Tz wana import gari kutoka SA,sasa huoni mna export kazi SA,viva comrades kweli,undugu ni kufaana,hamna akili ama uwezo wa kuanzisha auto mobile industry.
 
Huu ndio tunaita uzwazwa, yaani mlitumika kuwakomboa ili muishi kula misifa wakati hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofaidi uhusiano wao na Afrika Kusini. Heehehe hadi aibu, kazi kukenua meno mkikunwa na misifa wakati wenzenu wanaifaidi hiyo Afrika Kusini kupita maelezo.

Kikubwa ni kwamba hao hao Wasouth ndio wanafaidi sana migodi yenu wakati nyie pamoja na hata kupewa visa free bado mivivu wa kutupwa hamfanyi chochote cha maana, na wakianza kucharanga wageni mapanga, wazamiaji wenu huwa hawasazwi, wanachezea humo humo.
Kenya hatupeleka kiherehere kwa kujifanya wakombozi wa hao Wasouth lakini kiaina tunafaidi hata bila visa.

Misifa yote hiyo ya kuwakomboa na kwenye list hii hapa hampo hamtajwi sehemu

  1. China: US$8.7 billion (9.2% of South Africa’s total exports)
  2. Germany: $7.1 billion (7.5%)
  3. United States: $6.4 billion (6.8%)
  4. United Kingdom: $4.8 billion (5.1%)
  5. Japan: $4.5 billion (4.7%)
  6. India: $4.5 billion (4.7%)
  7. Botswana: $4.1 billion (4.3%)
  8. Namibia: $3.6 billion (3.8%)
  9. Mozambique: $3.3 billion (3.4%)
  10. Netherlands: $3.1 billion (3.3%)
  11. Belgium: $2.4 billion (2.6%)
  12. Zambia: $2.4 billion (2.6%)
  13. Zimbabwe: $2.3 billion (2.5%)
  14. South Korea: $1.9 billion (2%)
  15. United Arab Emirates: $1.8 billion (1.9%)

Kwa hiyo baada ya ukombozi ulitaka tupeleke bakuli South Africa kama ninyi mlivyopeleka bakuli Uchina
 
Tulitegemea baada ya kupeleka kiherehere cha kujiingiza kwenye ugomvi wa nchi za watu, mngeanza kufanya biashara nao, leo hii hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofanya bashara na Afrka Kusini, kazi kuzamia kwao na kuomba omba, hamfanyi lolote la maana.
Mnajikomba komba kwao na kusahau lile ni taifa la kibepari, wao huangalia umuhimu wenu kwao kwenye jicho la biashara sio hizo puma za kuitana ndugu, kawaida huwa wanawakosha kwenye matamko ya kisiasa lakini yanaishia hapo.

Angalia mataifa yote mliyopeleka hicho kiherehere, ni ipi mnafanya biashara ya kutajika, Uganda ambapo mlitumia kila kitu hadi mkawa maskini, leo hii wanaafanya biashara kubwa na sisi.
 
Povu linakushuruzika sana mbaya zaidi halina uhusiano na mada mezani.

Ipo tofauti kubwa ya South Africa na Southern Africa, sisi tuli liberate the whole Southern Africa.
Wacha ujinga bwana ,nyie mlipewa uhuru kwa sahani na sisi tulipigana na mwingereza vikali.Kama hamkupigania uhuru wenu mtawezaje kwenda kupigania haki za wengine? All you did was to give refuge to a few exiled ANC leaders.
 
Hivi unadhani ukiandika insha ndo utamake sense [emoji23][emoji23][emoji23] punguza wivu na chuki mtoto wa kiume
Tulitegemea baada ya kupeleka kiherehere cha kujiingiza kwenye ugomvi wa nchi za watu, mngeanza kufanya biashara nao, leo hii hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofanya bashara na Afrka Kusini, kazi kuzamia kwao na kuomba omba, hamfanyi lolote la maana.
Mnajikomba komba kwao na kusahau lile ni taifa la kibepari, wao huangalia umuhimu wenu kwao kwenye jicho la biashara sio hizo puma za kuitana ndugu, kawaida huwa wanawakosha kwenye matamko ya kisiasa lakini yanaishia hapo.

Angalia mataifa yote mliyopeleka hicho kiherehere, ni ipi mnafanya biashara ya kutajika, Uganda ambapo mlitumia kila kitu hadi mkawa maskini, leo hii wanaafanya biashara kubwa na sisi.
 
Utajiri kila mtu ana fursa sawa na kufanikiwa kunaoimwa kwa mambo mengi, bahati mbaya sana kwa watanzania walio wengi ili uonekane umeendelea uwe na moja kati ya haya. Nyumba khali gari lamkifahari, biashara kubwa umesoma hadi mahidrii mengi, umeoa mke msomi umepeleka watoto shuel zilee za you know oh my gosh...... nakadhalika ... yapo mambo yamefanywa na watu. wengine hata wakitaka kuyafanya hawana nafasi wala uwezo wakuyafanya hata kama wana pesa
 
Na ndio maana Tanzania inafanya biashara mara 100 na SADC kuliko inavyofanya na EAC

Na hiyo SADC ukiangalia kwa makini utaona nchi tisa ni LDCs ni vile tu market yake ni kubwa zaidi yaani soko kubwa ya uchwara.
 
Huu ndio tunaita uzwazwa, yaani mlitumika kuwakomboa ili muishi kula misifa wakati hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofaidi uhusiano wao na Afrika Kusini. Heehehe hadi aibu, kazi kukenua meno mkikunwa na misifa wakati wenzenu wanaifaidi hiyo Afrika Kusini kupita maelezo.

Kikubwa ni kwamba hao hao Wasouth ndio wanafaidi sana migodi yenu wakati nyie pamoja na hata kupewa visa free bado mivivu wa kutupwa hamfanyi chochote cha maana, na wakianza kucharanga wageni mapanga, wazamiaji wenu huwa hawasazwi, wanachezea humo humo.
Kenya hatupeleka kiherehere kwa kujifanya wakombozi wa hao Wasouth lakini kiaina tunafaidi hata bila visa.

Misifa yote hiyo ya kuwakomboa na kwenye list hii hapa hampo hamtajwi sehemu

  1. China: US$8.7 billion (9.2% of South Africa’s total exports)
  2. Germany: $7.1 billion (7.5%)
  3. United States: $6.4 billion (6.8%)
  4. United Kingdom: $4.8 billion (5.1%)
  5. Japan: $4.5 billion (4.7%)
  6. India: $4.5 billion (4.7%)
  7. Botswana: $4.1 billion (4.3%)
  8. Namibia: $3.6 billion (3.8%)
  9. Mozambique: $3.3 billion (3.4%)
  10. Netherlands: $3.1 billion (3.3%)
  11. Belgium: $2.4 billion (2.6%)
  12. Zambia: $2.4 billion (2.6%)
  13. Zimbabwe: $2.3 billion (2.5%)
  14. South Korea: $1.9 billion (2%)
  15. United Arab Emirates: $1.8 billion (1.9%)

Ni ukweli mchungu. Namezea na mate.
 
La kushangaza, Kenya ambayo haikuhangaika kupeleka kiherehere cha kukomboa Afrika Kusini, hii picha hapa inaonyesha inaizidi Tanzania kwa uhusiano wa kibiashara na hao Afrika Kusini, licha ya Tanzania kujifanya mkombozi wa Afrika

View attachment 1182894
Nchi ya LDC haiwezi kuishinda nchi ya middle income kwa biashara .Hii Tz hata hawakupigana vita yoyote na wabeberu Afrika Kusini all they did was give refuge to a few ANC chiefs alafu wanasema walipigania ukombozi SA.
 
Hivi unadhani ukiandika insha ndo utamake sense [emoji23][emoji23][emoji23] punguza wivu na chuki mtoto wa kiume

Jadli hoja, huna msamiati mwingine zaidi ya neno 'wivu' na 'chuki', humu watu wanajadili hoja, wewe uzi wote unachezea kurasa kadhaa huna jipya ila hayo maneno mawili, huu ni ulimwengu kisasa sio zile pumba za ujamaa, hamna cha undugu wala nini, ni dunia ya nipe nikupe, kama huna basi tembea mbele.

Kwa mfano mahindi hamtupi bure, tunanunua kwa hela zetu, ndio dunia ya leo, ubepari, shilingi kwanza pumba za undugu baadaye.
 
Wacha ujinga bwana ,nyie mlipewa uhuru kwa sahani na sisi tulipigana na mwingereza vikali.Kama hamkupigania uhuru wenu mtawezaje kwenda kupigania haki za wengine? All you did was to give refuge to a few exiled ANC leaders.
We pimbi Tanzania gave money for weapons, fuels, transportation, liberation media like radios, newspapers, dozens of army camps, foods, financial assistance and lots of aids in different ways

Wewe unafikiri ilikuwa ni kazi ndogo? Mpuuzi kabisa wewe.
 
Nchi ya LDC haiwezi kuishinda nchi ya middle income kwa biashara .Hii Tz hata hawakupigana vita yoyote na wabeberu Afrika Kusini all they did was give refuge to a few ANC chiefs alafu wanasema walipigania ukombozi SA.
Tanzania kulikuwa na radio zinasikika mpaka Zimbabwe na SA just specialise in spreading liberation ideologies, fool you know nothing.
 
Siwezi nikawa na jipya na watu waliolelewa kuwa na chuki na wivu
Jadli hoja, huna msamiati mwingine zaidi ya neno 'wivu' na 'chuki', humu watu wanajadili hoja, wewe uzi wote unachezea kurasa kadhaa huna jipya ila hayo maneno mawili, huu ni ulimwengu kisasa sio zile pumba za ujamaa, hamna cha undugu wala nini, ni dunia ya nipe nikupe, kama huna basi tembea mbele.

Kwa mfano mahindi hamtupi bure, tunanunua kwa hela zetu, ndio dunia ya leo, ubepari, shilingi kwanza pumba za undugu baadaye.
 
Jadli hoja, huna msamiati mwingine zaidi ya neno 'wivu' na 'chuki', humu watu wanajadili hoja, wewe uzi wote unachezea kurasa kadhaa huna jipya ila hayo maneno mawili, huu ni ulimwengu kisasa sio zile pumba za ujamaa, hamna cha undugu wala nini, ni dunia ya nipe nikupe, kama huna basi tembea mbele.

Kwa mfano mahindi hamtupi bure, tunanunua kwa hela zetu, ndio dunia ya leo, ubepari, shilingi kwanza pumba za undugu baadaye.
Hahaha halafu nimekuanalyse misingi ya hoja yako naona hii phrase ya "undugu" inakukereketa sana, yaani unababaika unavyoona Tanzania inaplace bond ya undugu na ndugu zetu wa SADC, hupendi unakereka roho yako sana?

Ulitaka tutengane kwa ukabila ka ninyi kuchomana visu kisa ukabila? Sasa usitulaumu sisi bali Kenyatta aliewatenganisha vipande vipande kama taifa

Ninyi kama taifa hampo United mtaweza kuwa United in international levels? Wewe acha kuuingilia undugu wetu wa damu na ndugu zetu wa SADC, tumemwaga damu kule na tuna makaburi maelfu humu nchini ya ndugu zetu walioapa kwamba wazikwe Tanzania endapo nchi zao bado hazikukomboka.

Yaani una mengi sana usiyoyajua kuhusu huu undugu wetu na SADC na nimemuona taahira mmoja hapo juu anadai eti mchango wetu kwa SADC ulikuwa ni refuge for exiles tu 😂😂😂😂 kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza ila vile vile ukijitia mjuaji kwenye usilojua unaonekana mwehu mbele ya wajuaji.
 
Hawa jamaa tumeshawatambua tangu muda mrefu tu. Wale ndio walisababisha EAC ikafa.
We know them.
aluta continua
Tutapambana na ukabila, ubaguzi na pupates mpaka Africa iwe na uhuru kamili.
 
Hahaha halafu nimekuanalyse misingi ya hoja yako naona hii phrase ya "undugu" inakukereketa sana, yaani unababaika unavyoona Tanzania inaplace bond ya undugu na ndugu zetu wa SADC, hupendi unakereka roho yako sana?

Ulitaka tutengane kwa ukabila ka ninyi kuchomana visu kisa ukabila? Sasa usitulaumu sisi bali Kenyatta aliewatenganisha vipande vipande kama taifa

Ninyi kama taifa hampo United mtaweza kuwa United in international levels? Wewe acha kuuingilia undugu wetu wa damu na ndugu zetu wa SADC, tumemwaga damu kule na tuna makaburi maelfu humu nchini ya ndugu zetu walioapa kwamba wazikwe Tanzania endapo nchi zao bado hazikukomboka.

Yaani una mengi sana usiyoyajua kuhusu huu undugu wetu na SADC na nimemuona taahira mmoja hapo juu anadai eti mchango wetu kwa SADC ulikuwa ni refuge for exiles tu 😂😂😂😂 kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza ila vile vile ukijitia mjuaji kwenye usilojua unaonekana mwehu mbele ya wajuaji.
Watabaki wao tu. Msikilize Kagame kuhusu SADC
 
We will continue drilling the truth into your thick bongolala skulls,stop with the bullshit stories of ujamaa,undugu and liberation stories,they are not helping poverty stricken tanzanians, instead start pushing for wider tax free access into SA markets,infact the Tz negotiating team should start like this-you see,we helped you with your liberation struggles,so grant us wider access into your markets,its then and only then clueless CCM/tanzania will realize the world is a bit complicated and works differently,they will realize that SA economy is still in the hands of white south africans and ramaphosa is a puppet for the system controlled by white afrikaans/boers,sounds ironical.its 2019,move on with the times,look,russian red army and americans liberated europe from the nazis and hitler,you will never hear russians or americans jumping all over that they liberated europe from the nazis LOL,its just primitive
 
Huo ushauri mlifaa kuutumia kujishauri, kwamba mnapoteza muda kuja kututambia huku kwenye jukwaa la Wakenya misifa mnayopewa na hao akina Ramaphosa na kusahau hayo kwa leo hayana umuhimu mkubwa, kilicho cha maana ni ajira kwa vijana wa leo ambao hata hawamjui Mandela wala huyo Nyerere. Hawana muda na hiyo misifa, wanataka fursa, vyuma vimekaza kila kukicha.
Mlifaa kukaa muwaze jinsi gani ya kutumia fursa ya uhusiano mwema na hao Wasouth kupiga biashara ya nguvu na kujikomboa kutoka kwenye umaskini, bado mnajitetea eti mpo maskini kisa mliikomboa Afrika, miaka yote hii bado mnaikomboa Afrika?
Hebu ona hii picha hapa chini bado mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa....sio Afrika, yaani dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi maskini wa kutolewa nje nje, mkihojwa mnajitetea eti mliikomboa Afrika

focuseconomics_poorest_countries_nov_2018-01.png
Hio ni picha au data au whatsoever..sio msahafu wala biblia useme ni correct 100%. Narudia kusema tena na tena tz sio maskin kama unavotaka kujifurahisha. Hio meza ivo ivo hata kama ni chungu na huo ndio ukweli. Hayo ma cjui statistics ma reseach yalifanywa na nani? Hii kusema LDC ni upuuz mtupu. Bro acha kujifungia happ jamii forum fanya ziara tembea uone....
 
Unajitutumua kuandika insha isiyo na maana yoyote [emoji23][emoji23][emoji23] go and solve your country problem
We will continue drilling the truth into your thick bongolala skulls,stop with the bullshit stories of ujamaa,undugu and liberation stories,they are not helping poverty stricken tanzanians, instead start pushing for wider tax free access into SA markets,infact the Tz negotiating team should start like this-you see,we helped you with your liberation struggles,so grant us wider access into your markets,its then and only then clueless CCM/tanzania will realize the world is a bit complicated and works differently,they will realize that SA economy is still in the hands of white south africans and ramaphosa is a puppet for the system controlled by white afrikaans/boers,sounds ironical.its 2019,move on with the times,look,russian red army and americans liberated europe from the nazis and hitler,you will never hear russians or americans jumping all over that they liberated europe from the nazis LOL,its just primitive
 
Hehehe! Nasoma povu zenu, ila ndio hivyo, lazima niwape ukweli huo ili uwaweke huru, maisha ya leo sio ya kupoteza muda mkikenua meno kisa kusifiwa, chapa kazi, tumia fursa vizuri sio kulala usingizi wa uzembe.
Ndugu zenu wanatusumbua huku wamejazana barabarani wakiombaomba, muwakomboe kutoka kwa umaskini.

Hakuna mtz ombaomba na ata kama yupo hawez kwenda kuomba kenya maaana hana kitu atapata huko. Hizo ni picha tu hata mm ninaweza ki edit hapa nikasema wakenya omba omba. Njoon huku kwenye nchi ya asali na maziwa acheni wivu na chuki. Dada zenu wamewashinda ujanja kila siku wanamiminikia huku kutafuta mabwana
 
Back
Top Bottom