Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wasikwambie chochote hawa ni washenzi tu. Hatuwahitaji kwa lolote.Unajitutumua kuandika insha isiyo na maana yoyote [emoji23][emoji23][emoji23] go and solve your country problem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasikwambie chochote hawa ni washenzi tu. Hatuwahitaji kwa lolote.Unajitutumua kuandika insha isiyo na maana yoyote [emoji23][emoji23][emoji23] go and solve your country problem
Matumizi ya akili bongo ni zero,sasa ona vile wanavyotiririka na upuzi tukiwaambia ukweli,nchi kama america ilitumia zaidi ya $12B through marshall plan kusaidia europe kuinuka kiuchumi baada ya world war 2 lakini huwezi ona wakiruka ruka kila mahali wakipayuka ati walisaidia europe.
Kwetu tunawaita nyie ni washenzi, vibaraka wa mabeberu. We don't need you.Matumizi ya ubongo ndio bongo inahitaji,chuki na wivu ndio kusema nini babayao 255?
If don't know History utatukana watu na kujiona msomi kumbe wewe ni kibaraka na mshenzi(barbarian)Matumizi ya ubongo ndio bongo inahitaji,chuki na wivu ndio kusema nini babayao 255?
SADC ni SA, Namibia na Botswana Hawa wengine ni mizoga ya kutafunwa... kea mfano Tz major export is food na mambo yanaishia hapo. SA na wanawauzia Watanzagiza karibu kila kitu afu bado wakafanya investments huko Tz yani Watanzania ni consumers wa South African products 😂😂😂 viva Ubuntu!Kwetu tunawaita nyie ni washenzi, vibaraka wa mabeberu. We don't need you.
SADC ni umoja wa kidugu.
We call it Ubuntu.
We are comrades.
Viva SADC vivaaaaa. Aluta continua.
Tutapambana na ninyi mpaka mpotee.
Haya ungekuwa unawaelezea Watu wa SADC yani SA ili wawache kuwaua wenzenu... Wakenya tupo EAC na tunaongoza kiuchumi huku upende usipende...nahata hiyo SADC bado tukiingia tutakuwa namba mbili baada ya SA...Sisi ni magwiji mpende msipende...bure kabisa.If don't know History utatukana watu na kujiona msomi kumbe wewe ni kibaraka na mshenzi(barbarian)
Hii historia haitafutika mioyoni mwa waafrica(SADC)
View attachment 1183318View attachment 1183319
SADC ni SA, Namibia na Botswana Hawa wengine ni mizoga ya kutafunwa... kea mfano Tz major export is food na mambo yanaishia hapo. SA na wanawauzia Watanzagiza karibu kila kitu afu bado wakafanya investments huko Tz yani Watanzania ni consumers wa South African products [emoji23][emoji23][emoji23] viva Ubuntu!
See how stupid you are!?Haya ungekuwa unawaelezea Watu wa SADC yani SA ili wawache kuwaua wenzenu... Wakenya tupo EAC na tunaongoza kiuchumi huku upende usipende...nahata hiyo SADC bado tukiingia tutakuwa namba mbili baada ya SA...Sisi ni magwiji mpende msipende...bure kabisa.
See how stupid you are!?
Unadhani kuna kuna nchi inashindana ninyi na kusema nyie mnaongoza!!!
This is primitive ideas. Hamtakaa muelewe hata siku moja.
Kitu kikubwa SADC tunajitambua bro!
We are fighting for basic needs for our people. We don't need virtual life like that you have in Kenya.
Basic needs are:-
1. Food
2. Shelter
3. Clothes
4. Security
5. Union and Peace
6. Cheap and quality social services.
Zaidi ya hapo ni wehu tu.
Huu ndio tunaita uzwazwa, yaani mlitumika kuwakomboa ili muishi kula misifa wakati hampo hata ndani ya kumi na tano bora kati ya mataifa yanayofaidi uhusiano wao na Afrika Kusini. Heehehe hadi aibu, kazi kukenua meno mkikunwa na misifa wakati wenzenu wanaifaidi hiyo Afrika Kusini kupita maelezo.
Kikubwa ni kwamba hao hao Wasouth ndio wanafaidi sana migodi yenu wakati nyie pamoja na hata kupewa visa free bado mivivu wa kutupwa hamfanyi chochote cha maana, na wakianza kucharanga wageni mapanga, wazamiaji wenu huwa hawasazwi, wanachezea humo humo.
Kenya hatupeleka kiherehere kwa kujifanya wakombozi wa hao Wasouth lakini kiaina tunafaidi hata bila visa.
Misifa yote hiyo ya kuwakomboa na kwenye list hii hapa hampo hamtajwi sehemu
- China: US$8.7 billion (9.2% of South Africa’s total exports)
- Germany: $7.1 billion (7.5%)
- United States: $6.4 billion (6.8%)
- United Kingdom: $4.8 billion (5.1%)
- Japan: $4.5 billion (4.7%)
- India: $4.5 billion (4.7%)
- Botswana: $4.1 billion (4.3%)
- Namibia: $3.6 billion (3.8%)
- Mozambique: $3.3 billion (3.4%)
- Netherlands: $3.1 billion (3.3%)
- Belgium: $2.4 billion (2.6%)
- Zambia: $2.4 billion (2.6%)
- Zimbabwe: $2.3 billion (2.5%)
- South Korea: $1.9 billion (2%)
- United Arab Emirates: $1.8 billion (1.9%)
Top South African Trading Partners 2023
Top South African trading partners based on latest 2023 statistics revealing most valuable customerswww.worldstopexports.com
Naona hata Burundi wako Juu yetu, na itawauma mnoooooooooHuo ushauri mlifaa kuutumia kujishauri, kwamba mnapoteza muda kuja kututambia huku kwenye jukwaa la Wakenya misifa mnayopewa na hao akina Ramaphosa na kusahau hayo kwa leo hayana umuhimu mkubwa, kilicho cha maana ni ajira kwa vijana wa leo ambao hata hawamjui Mandela wala huyo Nyerere. Hawana muda na hiyo misifa, wanataka fursa, vyuma vimekaza kila kukicha.
Mlifaa kukaa muwaze jinsi gani ya kutumia fursa ya uhusiano mwema na hao Wasouth kupiga biashara ya nguvu na kujikomboa kutoka kwenye umaskini, bado mnajitetea eti mpo maskini kisa mliikomboa Afrika, miaka yote hii bado mnaikomboa Afrika?
Hebu ona hii picha hapa chini bado mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa....sio Afrika, yaani dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi maskini wa kutolewa nje nje, mkihojwa mnajitetea eti mliikomboa Afrika
![]()
Huo ushenzi wenu mtakula wenyewe. Tunawatazama tu kwa macho mawili.Venus star......sawa mliwakomboa SA,lakini mbona hao SA hawatambui waafrica wenzao tupilia mbali Tz????xenophobia is REAL.imagine fellow africans(south africans) killing their fellow africans ikiwemo bongolalas(tanzanians),hivi bongo mbona mnakuanga ignorant hivi?????
History itaendelea kuwahukumu hawa wakenya mpaka siku watakapojitambua.Wivu na chuki [emoji23][emoji23][emoji23] hizi chuki mkazitumie kumaliza ukabila na njaa
History itaendelea kuwahukumu hawa wakenya mpaka siku watakapojitambua.
Hiyo dhambi ya ubaguzi waliyoianzisha itawala mpaka wataisha.
#Mazibu Tanzania miaka ya 70s sikiliza hiyo clip