Hai: DED aagiza walimu wote kwenda kumpokea Rais Samia uwanja wa KIA

Hai: DED aagiza walimu wote kwenda kumpokea Rais Samia uwanja wa KIA

DED acha utemi, hayo mambo ya kizamani, acheni watu wafanye kazi, mapokezi ya viongozi wa kitafa siyo sehemu ya JD zao.
 
Tumefunga ubongo, tumfungua mikono. Tutakuwa ombaomba mpaka dunia ianze upya. Kama ni kweli, inamaana watoto wamekosa masomo leo. Siku imepita na haitojirudia
 
Ujumbe wenyewe huo hapo

Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Siyo hivyo tu, gari ya matangazo imetangaza watu wote tujitokeze barabarani, (na masale!)
 
Ujumbe wenyewe huo hapo

Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Safi sana Mama apokelewe kwa uzuri
 
Samia anapotezea wananchi muda sana na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu mno.​

Siyo Rais, ni watumishi waokuza matukio yanayomhusu mkuu wa nchi kwa kujipendekeza.
Unaweza kukumbuka, wakati wa msiba wa hayati Rais Magufuli, kwa sababu ya ujinga na kujipendekeza, baadhi ya viongozi walikuwa wanahamasisha wananchi waende kwa wingi uwanja wa taifa, bila kujali usalama na matokeo yake watu walikufa na hakuna aliyejali wala kuwajibishwa.
Kwa matukio yanayomhusu viongozi wakuu wa nchi, waende wawakilishi tu, huku shughuli nyingine za ujenzi wa taifa zikiendelea, kama kufundisha shuleni, huduma za afya, biashara, kilimo,....
 
Tumefunga ubongo, tumfungua mikono. Tutakuwa ombaomba mpaka dunia ianze upya. Kama ni kweli, inamaana watoto wamekosa masomo leo. Siku imepita na haitojirudia
Mbona kwa Magufuli hamkusema?
 
Back
Top Bottom