Hai: DED aagiza walimu wote kwenda kumpokea Rais Samia uwanja wa KIA

Hai: DED aagiza walimu wote kwenda kumpokea Rais Samia uwanja wa KIA

Watoto wakikosa masomo, DED atawarudishia siku wanayoppteza kwa ajili ya kumpokea Rais kama vile ina umuhimu pia kwenu na wanafunzi!!!

Hai lazima CCM hata wafanyaje hawatapewa kura wanazotafuta.
 
DED acha utemi, hayo mambo ya kizamani, acheni watu wafanye kazi, mapokezi ya viongozi wa kitafa siyo sehemu ya JD zao.
Tangu ameingia Mama, hilo la watumishi "kulazimishwa" kumpokea Mama limekuwa la kawaida.
 
Ujumbe wenyewe huo hapo

Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Bosi anafika saa 12 asb twendeni tukampokee!, KUNA UBAYA GANI? HAPA.
 
Ujumbe wenyewe huo hapo

Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Sababu za kumpokea kwa shamrashamra zipo nyingi. Ya kwanza ni bosi mkubwa sana na ya pili Mei Mosi mwaka huu anaongeza mishahara yenu kama alivyoahidi mwaka jana.
 
Ujumbe wenyewe huo hapo

Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Ok,basi rekebisha heading yako,iendane na content.
 
Tizedi: Akili ndogo tu, utahamisha milima.

Hilo tamko nchi za watu huyo DED angeburuzwa Mahakamani na Watu binafsi, Vikundi, Taasisi na Vyama flani flani kwa maelfu ya kesi za kukiuka:-

1. Haki za Wafanyakazi

2. Haki za Kibinaadamu

3. Haki za Wanafunzi/Watoto

4. Unyanyasaji

5. Matumizi Mabaya ya Madaraka

6. Sheria za Nchi

7. Na nyingine nyingi tu.

Hata akija kusema alipewa maelekezo kutoka juu, hao wa juu hawatamsaidia na kitendo cha kushtakiwa tu, hiyo kazi keshaikosa.

Itakua Funzo kubwa sana kwa Viongozi Mabwanyeye kama yeye wachumia tumbo zao na wasiofikiria.

Ila kwakua hii nchi Wananchi wengi hasa Watumishi wenyewe hawana Fedha na hamasa ya kupotezana muda Mahakamani, wataufyata na kufuata maelekezo.

Bado tuna Kazi kubwa ya kuondoa UJINGA, UMASKINI & MARADHI.
 
Hebu tutafakari.
Nchi zilizo serious na kufanya kazi, wanaweza kupoteza muda wa Watumishi kwenda kumpokea Kiongozi akiwa anatoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine.

Afrika tuna Viongozi vichwa maji kweli kweli
Wakati mnampokea mbowe kutoka gerezani mlitafakari, au chadema hawakai nchini kwahiyo hawakupoteza muda?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom