Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
'Watumishi wote'.Ujumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa kia saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Walimu ndio wengi'Watumishi wote'.
Kwani watumishi Ni Walimu tu?
Haya mambo ya kipuuzi bado yapo kumbe? Mi nilijua yamezikwa Chato na mwendazakeUjumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa kia saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Tunalinda legacy ya shujaa wa Africa.Haya mambo ya kipuuzi bado yapo kumbe? Mi nilijua yamezikwa Chato na mwendazake
Mi nisingeenda hata kwa dawa, kumpokea amefanya nini?Ujumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
hali iliwahi kuwa rahisi lini?Samia anapotezea wananchi muda sana na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu mno.
Tangu tupate uhuru wanawake hawajawahi kushindwa kupika maandazi kwa kukosa mafuta ya kula.hali iliwahi kuwa rahisi lini?
Siyo hivyo tu, gari ya matangazo imetangaza watu wote tujitokeze barabarani, (na masale!)Ujumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Huyo DED anaitwaje vile?Vizuri sana DED.
Safi sana Mama apokelewe kwa uzuriUjumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa KIA saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Siyo Rais, ni watumishi waokuza matukio yanayomhusu mkuu wa nchi kwa kujipendekeza.Samia anapotezea wananchi muda sana na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu mno.
Hebu tutafakari.Safi sana Mama apokelewe kwa uzuri
Mbona kwa Magufuli hamkusema?Tumefunga ubongo, tumfungua mikono. Tutakuwa ombaomba mpaka dunia ianze upya. Kama ni kweli, inamaana watoto wamekosa masomo leo. Siku imepita na haitojirudia