Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja

CCM imewa-promote sana hawa jamaa, sasa hivi wanajulikana Tanzania zaidi ya Shaka.
CCM watu wa miscalculations Muda mwingi mno....Vipi kwenye Wizi wa Kura tulishawashindwa kabisa kuwa dhibiti????
 
Lt. Urio kashafukuzwa kazi. Ameondolewa kwenye payroll la jeshi
 
Alipatikana na kesi ya kujibu lakini viongozi wa dini wakamwombea msamaha mama akamsamehe.
Kupatikana na kesi ya kujibu kesheria si hukumu.
Kisheria ni kuwa unapewa nafasi ya ww kuleta mashahidi na vielelezo vyako ili ku prove otherwise.
Na hiyo si hukumu,kesi bado iko kwenye proceeding.


Unadai aliombewa msamaha? Question una mazungumzo yaliyorekodiwa kuwa ni msamaha uliombwa? Au ulikuwa ikulu?
 
Ukumsikia Shekhe Mkuu alivyomuombea msamaha siku mama anaongea na viongozi wa dini Ikulu Dar siku moja kabla ya kesi ya kina Mbowe!!?
 
Naomba kuuliza: Yeye komando Denis Urio yupo wapi? Anafanya nini?

Ila kwa sasa, naona jeshi litakuwa linawavumilia sana makomando wake kuliko kuwafukuza haraka haraka!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi gharama za kesi hakuna tena ? Natamani nijue zaidi kuna ukweli fulani hatujaujua
 
Kweli kabisa. Baada ya dhiki ni faraja.
 
Urio homeboy atapewa nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…