Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja

Yaan hao ni walinzi??? Kwamba watawazuia watu wasimdhuru Mbowe?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sawa hata mamvii alisema kama wewe lkn baadae alirudi
Je na wewe huwez kurud huko ccm baadae??
Maana kilicho kuvutia ni hao komandoo
Sio sera za chadema
sera ni msingi ni chama ambacho nakifuatilia toka 1992
 
View attachment 2157070

Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi , leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa mwenzao Mbowe , aliyeenda huko kutoa Sadaka ya Shukrani kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame

Pamoja na kuzawadiwa ng'ombe dume wakubwa kabisa kila mmoja , pia wamepewa BAHASHA NZITO NZITO SANA kila mmoja , ambazo ndani yake haifahamiki mmewekwa nini .

Zawadi hizo zote zimetolewa na Wazee wa Machame kama sehemu ya Shukrani zao kwa Makomandoo hao kwa Uaminifu wao kwa Mbowe kutokana na kinachoitwa Kukataa kutoa Ushahidi wa Uongo ili ionekane Mbowe ni Gaidi hata baada ya kuteswa sana kuliko karibia kifo , uaminifu wa Makomandoo hawa umewapa heshima kubwa sana mbele ya Jamii .

.
Makomandoo wa ukweli wapo kamiligado. Wemependeza na miili inaludi. Wale makwilikwinyo wakiona hivi wanahisi kufakufa
 
Hivi hao ndio walibinywa mpaka wakaita maji mma!
luteni urio ndio alifanya hivyo sio hawa wajuba.
fahamu kwamba kesi ilifutwa moja wapo ya sababu ni baada ya upande w mshtaka kujua kwamba co wa ngerengere angeshindwa kufoji kitabu cha attenfande register ya kambi ya jeshi kuonyesha kwamba huyu mhaini luteni urio alikuwa anatende kazini wakati alikuwa ameshikiliwa na kina afande mahita akila mateso mpaka maji akita mma
Sababu nyingine walishindwa kuelea itakuwa vipi mstaafu DCI boaz ambaye jina lake lilitumika kimagumashi kwenye kesi angejibu vipi maswali ya kina kibatala Waliogopa ingewezekana dci mstaafu boaz angewatosa au angeshindwa kuhimili kusongwasongwa kwani ameshastaafu na hana mtu wa kumtii na hana cha kupotezwa . DCI angeulizwa alitumia nini kumruhusu eti luteni wa jeshi aendelee kufanyia upelelezi wa suala la jinai? ambalo lipo chini yake.
huyo mwanajeshi alipewa kibali na wakubwa wake .
Hayo maswali yaliwaumiza sana states attorneys.
na ndio maana wakaamua kurusha taulo ulingoni kwani drama yao ndipo ilipoishia
 
View attachment 2157070

Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi , leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa mwenzao Mbowe , aliyeenda huko kutoa Sadaka ya Shukrani kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame

Pamoja na kuzawadiwa ng'ombe dume wakubwa kabisa kila mmoja , pia wamepewa BAHASHA NZITO NZITO SANA kila mmoja , ambazo ndani yake haifahamiki mmewekwa nini .

Zawadi hizo zote zimetolewa na Wazee wa Machame kama sehemu ya Shukrani zao kwa Makomandoo hao kwa Uaminifu wao kwa Mbowe kutokana na kinachoitwa Kukataa kutoa Ushahidi wa Uongo ili ionekane Mbowe ni Gaidi hata baada ya kuteswa sana kuliko karibia kifo , uaminifu wa Makomandoo hawa umewapa heshima kubwa sana mbele ya Jamii .

.
Mayele ng'ombe ,Adamoo moo tusubiri season ya pili
 
Hivi hao ndio walibinywa mpaka wakaita maji mma!
luteni urio ndio alifanya hivyo sio hawa wajuba.
fahamu kwamba kesi ilifutwa baada ya upande wa mashtaka kujua kwamba CO wa ngerengere angeshindwa kufoji kitabu cha attendance register ya kambi ya jeshi kuonyesha kwamba huyu mhaini luteni urio alikuwa anatende( wakati alikuwa haattende) kazini wakati alikuwa ameshikiliwa na kina afande mahita akila mateso mpaka maji akita mma.
Na pia kulikuwa na ishu ya afande mstaafu dci boaz. Walijistukia wamfateje mstaafu wamuambie akaongee uongo mahakamani .
ukweli ni kwamba dci boaz asingeweza eti kumwambia luteni urio aendelee na upelele wa criminal ishu ya ugaidi ambayo ipo chini ya idara yake
 
Wewe utakuwa umezaliwa na kukulia kwenye flat za NHC haya mambo huwezi kuyaelewa kamwe. Hiyo kimila ni jambo kubwa sana hao wazee wanajua wanachokifanya.
Bwashee kwani mila za kichaga ni universal kiasi kwamba hata mmakonde lazima azielewe? Au unadhani members wa jf wote ni wachaga?
 
View attachment 2157070

Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi , leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa mwenzao Mbowe , aliyeenda huko kutoa Sadaka ya Shukrani kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame

Pamoja na kuzawadiwa ng'ombe dume wakubwa kabisa kila mmoja , pia wamepewa BAHASHA NZITO NZITO SANA kila mmoja , ambazo ndani yake haifahamiki mmewekwa nini .

Zawadi hizo zote zimetolewa na Wazee wa Machame kama sehemu ya Shukrani zao kwa Makomandoo hao kwa Uaminifu wao kwa Mbowe kutokana na kinachoitwa Kukataa kutoa Ushahidi wa Uongo ili ionekane Mbowe ni Gaidi hata baada ya kuteswa sana kuliko karibia kifo , uaminifu wa Makomandoo hawa umewapa heshima kubwa sana mbele ya Jamii .

.
Zawadi hizo zote zimetolewa na Wazee wa Machame kama sehemu ya Shukrani zao kwa Makomandoo hao kwa Uaminifu wao kwa Mbowe kutokana na kinachoitwa Kukataa kutoa Ushahidi wa Uongo ili ionekane Mbowe ni Gaidi hata baada ya kuteswa sana kuliko karibia kifo , uaminifu wa Makomandoo hawa umewapa heshima kubwa sana mbele ya Jamii .
Mungu ibariki CHADEMA
 
CHADEMA Ni Genge la mihemko tu.

Sasa hivi Ni Moto wa mihemko. Mihemko ikiisha hao makomandoo hawana Chao tena.
 
Back
Top Bottom