Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Tunasalitiwa kwa vipande "thelathini vya pesa"
Hii ni rushwa tu, Samia, anatafuta kura na anamtumia Mbowe!Mbowe anajua hawezi kuwa Raisi, at least not 2025! Ila yupo tayari na anataka kuwa mbunge, apewe wabunge, apate ruzuku, na biashara zake ziendelee,
It's a compromise,
 
Siasa sio uadui
 
Kina mdude na wenzake waliokosa werevu
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
 
PESAAA!!!
NANI ALISABABISHA UWEPO MAISHANI!!?
 
Kwani Erythromycin anasemaje kuhusu hili jambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…