Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

Tunasalitiwa kwa vipande "thelathini vya pesa"
Hii ni rushwa tu, Samia, anatafuta kura na anamtumia Mbowe!Mbowe anajua hawezi kuwa Raisi, at least not 2025! Ila yupo tayari na anataka kuwa mbunge, apewe wabunge, apate ruzuku, na biashara zake ziendelee,
It's a compromise,
 
Siasa sio uadui
 
Kina mdude na wenzake waliokosa werevu
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa

Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa

View attachment 2858537
PESAAA!!!
NANI ALISABABISHA UWEPO MAISHANI!!?
 
Kwani Erythromycin anasemaje kuhusu hili jambo?
 
Back
Top Bottom