Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

Si wahamie CCM
Hii itakuwa ngumu kwa sababu 1. Kule CCM kuna wenyewe na hawatataka kunyang'anywa tonge mdomoni 2. Hawa siyo kwamba CCM inawapenda sana, la! Inawatumia tu ili bunge lionekane lina wapinzani na siyo bunge la chama kimoja hivyo kama wakienda CCM, basi watakuwa wamekosa upinzani uchwara bungeni.
 
Bila shaka wamepewa ushauri na Mheshimiwa Spika ili muda uende waendelee kuwepo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana, ni suala la muda tu, ratiba za mashauri mahakama ya rufani zimetoka, kwa hii kesi mpya, labda itakuwa imepangwa september, au novemba 2024
 
Yote haya yasingekuwepo kama kusingekuwa na ubunge wa viti maalumu
 
Hata wao na mume wao wanajua Kwa sasa hawakubaliki popote na hawawezi kushinda popote.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…