Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

Si wahamie CCM
Hii itakuwa ngumu kwa sababu 1. Kule CCM kuna wenyewe na hawatataka kunyang'anywa tonge mdomoni 2. Hawa siyo kwamba CCM inawapenda sana, la! Inawatumia tu ili bunge lionekane lina wapinzani na siyo bunge la chama kimoja hivyo kama wakienda CCM, basi watakuwa wamekosa upinzani uchwara bungeni.
 
Bila shaka wamepewa ushauri na Mheshimiwa Spika ili muda uende waendelee kuwepo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana, ni suala la muda tu, ratiba za mashauri mahakama ya rufani zimetoka, kwa hii kesi mpya, labda itakuwa imepangwa september, au novemba 2024
 
Yote haya yasingekuwepo kama kusingekuwa na ubunge wa viti maalumu
 
Bilahawa kuwepo bungeni CCM haina 'legitimacy' wala 'moral ethics' kuwepo madarakani sasa hivi. Hawa ndio waliokiri kwamba JPM alishinda uchaguzi mkuu wa 2020 na kwamba kwa mjibu wa sheria za uchaguzi anayepata kiwango fulani cha kura anawezesha chama chake kupata wabunge wa viti maalum. Waking'olewa leo CDM ambayo haitambuii uchaguzi mkuu wa 2020, ushindi wa JPM na uteuzi wa wabunge viti maalu 19 basi haina haki kuteua wengine kwenda bungeni. Na kama hivi ndivyo basi CCM haina uhalali wa kuwa madarakani ni sharti uchaguzi mwingine uitishwe mara moja sio 'substitution' waliyoikamia CDM kuifanya endapo kama bunge litaridhia kuwafukuza.

Sasa wamekata rufaa, huwatoi bungeni tena na uchaguzi wa 2025 huo uko mlangoni. Hata kama CDM itakataa kuwateua kugombea jimbo lolote TZ wana CV tayari ya kukubalika na chama kingine kuwakirisha na watashinda maana wameonesha uwezo wao wa kujenga hoja bungeni.
Hata wao na mume wao wanajua Kwa sasa hawakubaliki popote na hawawezi kushinda popote.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom