Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
MahakamaNani kakwambia kuwa walishinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MahakamaNani kakwambia kuwa walishinda?
Kama vipi??Kuna vipengele wanaenda kuiomba mahakama ipige misumari ya kutosha ili ushindi unoge zaidi
Vyama vipo vingi tu wataibukia NCCR2025 ni kesho kutwa, watagombea ubunge kupitia Gani cha siasa?
hadi mwakani ubunge wao utakapoisha hiyo, tz raha sana. na wakipigwa hapo, watafile review CAT. hadi mwaka 2026 hiyo.Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Vyama vipo vingi tu wataibukia NCCR
Wazalendo, CUF, etc, kuna ''vyama chawa'' vingi tu. Na serikali inaweza kulazimisha ''washinde'' ili kuendelea kuwatumia.2025 ni kesho kutwa, watagombea ubunge kupitia Gani cha siasa?
Hii itakuwa ngumu kwa sababu 1. Kule CCM kuna wenyewe na hawatataka kunyang'anywa tonge mdomoni 2. Hawa siyo kwamba CCM inawapenda sana, la! Inawatumia tu ili bunge lionekane lina wapinzani na siyo bunge la chama kimoja hivyo kama wakienda CCM, basi watakuwa wamekosa upinzani uchwara bungeni.Si wahamie CCM
Bila shaka wamepewa ushauri na Mheshimiwa Spika ili muda uende waendelee kuwepo.Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Hapana, ni suala la muda tu, ratiba za mashauri mahakama ya rufani zimetoka, kwa hii kesi mpya, labda itakuwa imepangwa september, au novemba 2024Bila shaka wamepewa ushauri na Mheshimiwa Spika ili muda uende waendelee kuwepo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ha ha...nilikuwa na maana ya " Kumaliza".Umaendika Lomalisa?
Wanaenda kupigilia misumari ya mwisho
nyumbu wanazinguliwa na kamama kamoja tu 🐒Akili zako sawa na ngedere
Hata wao na mume wao wanajua Kwa sasa hawakubaliki popote na hawawezi kushinda popote.Bilahawa kuwepo bungeni CCM haina 'legitimacy' wala 'moral ethics' kuwepo madarakani sasa hivi. Hawa ndio waliokiri kwamba JPM alishinda uchaguzi mkuu wa 2020 na kwamba kwa mjibu wa sheria za uchaguzi anayepata kiwango fulani cha kura anawezesha chama chake kupata wabunge wa viti maalum. Waking'olewa leo CDM ambayo haitambuii uchaguzi mkuu wa 2020, ushindi wa JPM na uteuzi wa wabunge viti maalu 19 basi haina haki kuteua wengine kwenda bungeni. Na kama hivi ndivyo basi CCM haina uhalali wa kuwa madarakani ni sharti uchaguzi mwingine uitishwe mara moja sio 'substitution' waliyoikamia CDM kuifanya endapo kama bunge litaridhia kuwafukuza.
Sasa wamekata rufaa, huwatoi bungeni tena na uchaguzi wa 2025 huo uko mlangoni. Hata kama CDM itakataa kuwateua kugombea jimbo lolote TZ wana CV tayari ya kukubalika na chama kingine kuwakirisha na watashinda maana wameonesha uwezo wao wa kujenga hoja bungeni.
Lazima watanyookaMakapi