Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au?
Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana.
Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"
Mwenzake akauliza kama hana hela na ni mfupi je? Utapita nae?
Kama hana hela na ni mrefu je? Utapita nae?
Naomba kuuliza, Kwani siku hizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi tu? Pochi ikikata utaangalia nini?
Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen