Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Kwani skuhizi CLASS na DESIRES mmemwachia shetani awashikie au??

Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana

Katika maneno Yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka,

Eti, " Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela Mimi napita nae"

Mwenzake akauliza kama Hana hela na ni mfupi je?! Utapita nae??

Kama Hana hela na ni mrefu he?! Utapita nae?!

Naomba kuuliza, Kwan skuhizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi Tu?!
Pochi ikikata utaangalia nini??

Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
Maisha yanaenda kasi duh? siku hizi money penny unatumia public transport???????
 
Kwani skuhizi CLASS na DESIRES mmemwachia shetani awashikie au??

Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana

Katika maneno Yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka,

Eti, " Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela Mimi napita nae"

Mwenzake akauliza kama Hana hela na ni mfupi je?! Utapita nae??

Kama Hana hela na ni mrefu he?! Utapita nae?!

Naomba kuuliza, Kwan skuhizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi Tu?!
Pochi ikikata utaangalia nini??

Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
MWANAMKE MZURI/MREMBO AKIKOSA AKILI KITAKACHOUMIA NI SEHEMU ZA SIRI...
 
Back
Top Bottom