Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Sawa boss
Ila nyie Zulu man wahuni Sana
Umenikumbusha tamthilia ya the wife jMaan
Achana na jina ila nimetoka kwenye hiyo ardhi na niko sehemu nyingine sasa
Kama uhuni ni kuwa m-zulu bhaaas nimeuacha na itabidi nibadili jina sasa.
 
Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au?

Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana.

Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"

Mwenzake akauliza kama hana hela na ni mfupi je? Utapita nae?

Kama hana hela na ni mrefu je? Utapita nae?

Naomba kuuliza, Kwani siku hizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi tu? Pochi ikikata utaangalia nini?

Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
Sema umekuwa na mada za kuokoteza sana unatafta mada kwa hoja za kipuuzi ...... hata story za wauza K unazileta hku tuzijadili .... [emoji706][emoji706][emoji706] zina chosha
 
Sema umekuwa na mada za kuokoteza sana unatafta mada kwa hoja za kipuuzi ...... hata story za wauza K unazileta hku tuzijadili .... [emoji706][emoji706][emoji706] zina chosha
Kama unachoka we unatafuta nini hapa labda, si ukalale?!
 
Back
Top Bottom