Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Urefu ingekua unauzwa wallah ningenunua,Kwenye issue ya mapenzi kiukweli wtu wafupi tuna nyanyasika sana aseeh..
 
Bila pesaa cku hzi ,uamue tu kujiunga chaputa ..


Yaani Mkuu wanawake wapo wengi sana.
Mtu kufanya hayo ni maamuzi yake tu ila sio kwamba wanawake wanahitaji pesa ndo upate mapenzi.

Mwanaume anayefanya hayo ni tayari alishaathirika.
Wanawake wapo wengi wasio na idadi.
 
ina maana hujui maana kibamia? Je utajua muhogo? Machungwa na matikiti? Hizi ni istilahi za kuficha ukali wa maneno, elewa lugha
Najua, ndio nakwambia hajawahi umba mtu na.kibamia,
 
Back
Top Bottom