Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Inashangaza ingawa ndio maisha halisia ya sasa hivi. Wapo wanaotaka serious relationships na wengi miongoni mwao baada ya kuzurura sana.
Wapo wachache sana ambao bado wana hofu ya Mungu na wanaangalia mahisiano yenye tija na yenye malengo ya kujenga familia.
Amina Mtumishi
 
Siku hizi hata ukiwa na kibamia hutadharauliwa kama una held. We toa hela uingie pangoni utakachokutana humo utajua mwenyewe hakuna wa kukushangaa kwa nini hujai humo ndani. Fedha ndio nguvu za kiume
 
Siku hizi hata ukiwa na kibamia hutadharauliwa kama una held. We toa hela uingie pangoni utakachokutana humo utajua mwenyewe hakuna wa kukushangaa kwa nini hujai humo ndani. Fedha ndio nguvu za kiume
Mungu hajawahi umba mtu na kibamia
 
Wadada wasemao hayo maneno wengi wao kuanzia 19-30 na mifano ipo ila ikifikia age ya 31 na kundelea ndipo wanapoanza kuona dunia chungu pind Makopo ya mikorogo yamedunda na kuwakataa ngozi hazina mvuto tena.ndipo wanapogeuka na kuwa watoa nasaa na kulalama sana nini wamemkosea MUNGU wanageuka kuwa waumini wazuri wa mafuta ya upako, mizizi shamba,ubani mashtaka kwa mashekh.wanataka mume...kipindi kile age 19-30 wanafaa kuolewa watakumbuka waliyasema haya{

Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela Mimi napita nae}​

hiyo miaka ikikata sasaaa,ndugu nakuambia tena hugeuka kuwa sumu na kikwazo kwenye ndoa za watu..huo mda ukifika wanakosa nuru ya sura mzuri matendo na furaha inapotea tena kwenye mioyo yao kifupi inakuwa laana inayotembea kwenye jamii..wanazidi kuwa vituko na story mbaya kwa mtaa..na kugeuzwa mifano mibaya kwa wazazi wema wanapowasihi watoto wao wa kike..niwajuze mipango ya MUNGU kwa waja wake kamwe haijawahi kuharibika tunaharibikiwa sisi viumbe kwa kujifanya wajuaji na wenye uelewa wa mambo..mda ni mali kumbuka ukifanyacho leo kwa akili yako basi majibu unatayapata kesho mda bado upo
Asante Mchungaji Kwa mahubiri
 
Nimekuja mbio nikafkiri ni maamuzi yako kumbe maneno ya majirani 🙌

Tuachane na hayo na mimi niko na kahela namna gani vipi hiviiiiiii ila ni andunje,hatuwezi kufanya namnaaa?upite na mimi😉
Huu ujumbe NI wangu au?
 
Back
Top Bottom