Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Siku hizi wadada nao "wanapita" na wanaume tena wengine wana "hit and run" kabisa. Mimi kuna mmoja kanipitia mara mbili nadhani alifikiri nna hela za mchezo, baada ya kunipiga vizinga mara kadhaa na mimi kuvichomoa kaamua kuni dump!Kwani skuhizi CLASS na DESIRES mmemwachia shetani awashikie au??
Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana
Katika maneno Yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka,
Eti, " Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela Mimi napita nae"
Mwenzake akauliza kama Hana hela na ni mfupi je?! Utapita nae??
Kama Hana hela na ni mrefu he?! Utapita nae?!
Naomba kuuliza, Kwan skuhizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi Tu?!
Pochi ikikata utaangalia nini??
Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
Mmechelewa kujua 😃😃Siku hizi wadada nao "wanapita" na wanaume tena wengine wana "hit and run" kabisa. Mimi kuna mmoja kanipitia mara mbili nadhani alifikiri nna hela za mchezo, baada ya kunipiga vizinga mara kadhaa na mimi kuvichomoa kaamua kuni dump!
Kwani skuhizi CLASS na DESIRES mmemwachia shetani awashikie au??
Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana
Katika maneno Yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka,
Eti, " Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela Mimi napita nae"
Mwenzake akauliza kama Hana hela na ni mfupi je?! Utapita nae??
Kama Hana hela na ni mrefu he?! Utapita nae?!
Naomba kuuliza, Kwan skuhizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi Tu?!
Pochi ikikata utaangalia nini??
Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
Utamu na uzuri wake.Pochi ikikata utaangalia nini?
Ukraine kuikomboa Crimea.😂Unapita nae unaenda nae wapi?
😂😂😂🙌Pale tunaposema shetani kanipitia.....muwe mnatuelewa,hao ndo mashetani sasa..?? Muda wote wanawaza kupita na sisi.
🤣🤣Nami nimeshangaahahaha
mbona wengine tunapewa bure😅
Shetani anakupitia? Unaamka unavaa nguo,, unapita na pharmacy kucheck durex. Bado usafiri mpaka ufike, useme shetani kakupitia?Pale tunaposema shetani kanipitia.....muwe mnatuelewa,hao ndo mashetani sasa..?? Muda wote wanawaza kupita na sisi.