Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

Kaka you are very right. Hali sio nzuri hapa we need your prayerz. This guy is backwarding thr country
 
Imefikia siasa za TZ zinamgusa mkenya kuanzia serikali mpa mtu mmoja mmoja
Aaah wapi, wakati mlipokuwa kwenye kampeni wakenya hata hawakuwa na habari kuhusu uchaguzi wenu. Ukiuliza wakenya kuhusu vyama vyenu na waliokuwa wanagombea kiti cha urais hakuna anayejua. Ila kituko cha ushamba mliofanya sasa ndio kimewashangaza wakenya.
 
Hakuna aliyeibiwa hao kusema uongo ni jadi yao.
Kilicho wabeba wabunge wa CCM ni kauli ya Magufuli kutaka mafiga matatu maana yeye ni nyota ya Tanzania na anakubalika pasi na mfano
Hahahaha alisema hataki kuchanganyiwa betri na gunzi kwenye tochi 😅😅😅
 
Wakenya wasijue wakati video za campaign zilikuwa zinatrend Kenya? Tena wapo wakenya waliomtungia Magufuli wimbo wa campaign kabisa.
 
Mungu hausiki n'a Mambo yanayoendelea Dunia mnampa sifa za bure kama ameshindwa muua shetani anaweza nini
 
Na Rais wako Uhuru Kenyatta leo ametuma Salaam za pongezi za ushindi kwa Mh JPM.
 
Na Rais wako Uhuru Kenyatta leo ametuma Salaam za pongezi za ushindi kwa Mh JPM.

Ulitegemea Uhuru amsute Magu kwa kusindika kura? Kawaida hata Uhuru ametuhumuwa kuiba kura lakini huwa hafanyi kwa namna ya kijinga ya kusomba kila kitu, labda kama unatawala maiti ndio ukombekombe kila kitu bila aibu.
Hivi nchi yenu hiyo hamna wasomi wenye kujitoa wapinge huo utopolo, nitawaelewa nyie walalahoi wa kwenye mabanda ya Buza ila nashangaa sana wasomi wote chali, hakuna aliyejitoa mhanga kusema kitu.
Viongozi wa kidini ndio waganga njaa, wamepiga kimya ile balaa......

Kwetu hapa aisei pamoja na kwamba mimi huwa nipo kwenye mlengo wa serikali lakini nisingeruhusu ujinga kama huo.....

Kuna mama anaonyeshwa kwenye Twitter amekamatwa na kura yaani hadi namhurumia, sijui ataishi vipi, moyo utamsumbua sana maana kaponzwa kisa njaa..

 
kura ulizopiga wewe ndio zilizoibwa ila sisi ndivyo tulivyochagua
 
Acha kulialia kwa vitu usivyovijua au kusoma tu kwenye mitandao,

Wenzio wamepiga kura na wamechagua watu wanaoamini watawaletea maendeleo.

Kwa taarifa yako viongozi wa vyama tisa ( 9) vilivyoshiriki uchaguzi wametoa statement ya pamoja ya kukubali matokeo na wameomba wananchi kuwa-ignore hao wa vyama viwili ( 2) wanaodai kuwa wameibiwa.

Sasa kama wengi wa wagombea walioshiriki hawajaona tatizo kubwa unataka tukusikilize wewe na ngonjera zako za JF🙂

Rais wako ameshatoa tamko kwa ajili ya waKenya wote🙂
 

Vyama vya mfukoni ndivyo vinakupa mzuka, halafu hivi mbona aliyechaguliwa amepiga kimya hajatolea neno la kushukuru, ni nyie mataga mumetelekezwa mpambane kwenye mitandao kujaribu kuhalalisha, miaka yote kijani mkishinda huwa mnatokea barabarani kusheherekea, mwaka huu naona imekua kama msiba licha ya kushinda kwa asilimia 100%

Naona hata mwenzenu kawasusa....



 
Jirani unacharaza Kiswahili cha kibongo cha kisasa hivi haswa… naona maneno hapo mataga na kijani… hongera sana
 
Hakika ni bora 2atu waendelee na maisha yao ya kawaida
 
Acha udelicious basi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…