Haijawahi kutokea tangu Dunia iumbwe chama cha upinzani kufanyiwa hivi

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-

1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu.

2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu.

3. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.

4. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa Ruzuku.

5. Chama kikuu cha upinzani kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa nk.

Kwa hiyo, mwaka huu Dunia inakwenda kushuhudia historia mpya kabisa kuwahi kutokea katika utawala wowote ule hapa Nchini.

Ndo maana sisi wengine tunasema, haya yanazungumzika. Watawala wetu waacheni na hayo yote niliyoyataja hapo juu ili maisha yaendelee kama miaka mingine.

Zinaweza kupigwa sarakasi nyingi hapa katika ili kujaribu kuhalalisha hayo niliyoyataja hapo juu, lakini Dunia ina akili timamu na Watanzania wana akili timamu, hivyo haitawezekana kudanganywa kirahisi hivyo.

Wenye mapenzi mema na Nchi hii, waendelee kutoa ushauri wao kwa watawala ili hatimaye tuingie kwenye uchaguzi Mkuu tukiwa wamoja kama miaka mingine yote.
 
October Yakutia na uchaguzi Tanzania mark my words.
 
1000262883.jpg
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Sahihi kabisa.
 
Hotuba ya dakika 15 za gwajiboy watu walikesha wanatafakari nini wafanye, mwarobaini wao ni kufunga kanisa.
wale waliozuia kanisa lisijengwe pemba sijui hata kama kuna mtu alihojiwa.
TUNAJUA
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Hata mimi nimeona hivyo. Unakiweka pembeni chama kikuu cha upinzani chenye wafuasi zaidi ya milioni pengine 8, Maana yake unatengeneza maadui zaidi ya 8 000 000 katika utawala wako. Ni shida kweli kweli.
 
Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-

1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu.

2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu.

3. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.

4. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa Ruzuku.

5. Chama kikuu cha upinzani kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa nk.

Kwa hiyo, mwaka huu Dunia inakwenda kushuhudia historia mpya kabisa kuwahi kutokea katika utawala wowote ule hapa Nchini.

Ndo maana sisi wengine tunasema, haya yanazungumzika. Watawala wetu waacheni na hayo yote niliyoyataja hapo juu ili maisha yaendelee kama miaka mingine.

Zinaweza kupigwa sarakasi nyingi hapa katika ili kujaribu kuhalalisha hayo niliyoyataja hapo juu, lakini Dunia ina akili timamu na Watanzania wana akili timamu, hivyo haitawezekana kudanganywa kirahisi hivyo.

Wenye mapenzi mema na Nchi hii, waendelee kutoa ushauri wao kwa watawala ili hatimaye tuingie kwenye uchaguzi Mkuu tukiwa wamoja kama miaka mingine yote.
Yaani mtu anasema ataanzisha uasi nankuvuruga uchaguzi ulitaka vyombo vya dola vimchekee tu??

Kuhusu kutoshiriki uchaguzi ni ujinga wao wa kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom