Ongeza sauti hawajaskia wajumbeHalafu inashangaza wanaofanya huo uonevu wote ni wazawa, kwa lengo tu la kumfurahisha mgeni kutoka nchi nyingine.
😳October Yakutia na uchaguzi Tanzania mark my words.
Huyu mpumbavu Kigwa alitoa kafara mtoto wake
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-
1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu.
2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu.
3. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.
4. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa Ruzuku.
5. Chama kikuu cha upinzani kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa nk.
Kwa hiyo, mwaka huu Dunia inakwenda kushuhudia historia mpya kabisa kuwahi kutokea katika utawala wowote ule hapa Nchini.
Ndo maana sisi wengine tunasema, haya yanazungumzika. Watawala wetu waacheni na hayo yote niliyoyataja hapo juu ili maisha yaendelee kama miaka mingine.
Zinaweza kupigwa sarakasi nyingi hapa katika ili kujaribu kuhalalisha hayo niliyoyataja hapo juu, lakini Dunia ina akili timamu na Watanzania wana akili timamu, hivyo haitawezekana kudanganywa kirahisi hivyo.
Wenye mapenzi mema na Nchi hii, waendelee kutoa ushauri wao kwa watawala ili hatimaye tuingie kwenye uchaguzi Mkuu tukiwa wamoja kama miaka mingine yote.
Uwezeshaji unafanyika zaidi uchaguzi unapokaribia? 😲
Sahihi kabisa.Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-
1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu.
2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu.
3. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.
4. Chama kikuu cha upinzani kufutiwa Ruzuku.
5. Chama kikuu cha upinzani kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa nk.
Kwa hiyo, mwaka huu Dunia inakwenda kushuhudia historia mpya kabisa kuwahi kutokea katika utawala wowote ule hapa Nchini.
Ndo maana sisi wengine tunasema, haya yanazungumzika. Watawala wetu waacheni na hayo yote niliyoyataja hapo juu ili maisha yaendelee kama miaka mingine.
Zinaweza kupigwa sarakasi nyingi hapa katika ili kujaribu kuhalalisha hayo niliyoyataja hapo juu, lakini Dunia ina akili timamu na Watanzania wana akili timamu, hivyo haitawezekana kudanganywa kirahisi hivyo.
Wenye mapenzi mema na Nchi hii, waendelee kutoa ushauri wao kwa watawala ili hatimaye tuingie kwenye uchaguzi Mkuu tukiwa wamoja kama miaka mingine yote.
Hata mimi nimeona hivyo. Unakiweka pembeni chama kikuu cha upinzani chenye wafuasi zaidi ya milioni pengine 8, Maana yake unatengeneza maadui zaidi ya 8 000 000 katika utawala wako. Ni shida kweli kweli.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Halafu inashangaza wanaofanya huo uonevu wote ni wazawa, kwa lengo tu la kumfurahisha mgeni kutoka nchi nyingine.
Yaani mtu anasema ataanzisha uasi nankuvuruga uchaguzi ulitaka vyombo vya dola vimchekee tu??Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:-