Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Swali linakuja ni wapi Tigo iliombwa na Kina Fa iwauzie ringtones zao?
Yaani uuze kitu changu bila ruhusa halafu unipangie malipo ya kile ulichoniibia?
Hivi inaingia akilini na kisheria nikuibie simu yako ,nikauze,halafu Mimi niseme hii simu nimeuza kiasi flani,halafu nichague kiasi cha kukulipa?

Damages kwenye hizi case inatajwa na mlalamikaji.

Tigo haijawadhulumu kina AY.
Imewaibia.
 

Ndiyo maana Mahakama inaplay kama mediator kwenye case hizi, kama ni hivyo unadhani ni kwa nini Mahakama haikupitisha ile Bili 4.3 waliyokuwa wameitaka jamaa?

Kwa nini ilipunguzwa wakati issue ni ya wizi?
 

Thibitisha. Sio poyoyo za huko manzese unaleta humu.
 
Ntakusue kweli, Sasa tumalizie tatizo hapa hapa, Kama nlivosema awali simu yangu haionyeshi chochote. Hâta hao mods siwaoni, pm siioni? Picha sizion Hadi avatar za watu sizion
Kwa mfano unapofungua ukurasa kama huu ninaotumia kuandika juu kidogo kuna mstari unaotenganisha na icons. Kuna upande wa kulia na kushoto. Kushoto kuna avator na kulia kuna neno SEND. Natumai utakuwa umeviona hivyo vitu. Katikati ya avatar na neno SEND ndio kuna hizo icons, ya kwanza ni icon mfano wa spana, inafuata remve formating, inafuata Bold na kuendelea. Hivyo vitu utaviona kwa kutembeza kasa juu ya hizo icons. Nafikiri utakuwa umenielewa uzuri.
 
We utakuwa mfua nepi za tiffer ww sio bure
 
Kwa hiyo unamaanisha hiyo ndio Pesa yao ya kwanza wamepata tangu kuanza muziki!? KKabla Diamond hajaanza muziki hao akin a AY na Fa walikuwa hawaingizi pesa!? Unadhani tangu Fa na AY waanze muziki wmeingiza fedha kiasi gani na huyo Diamond ameingiza kiasi gani!?
 
Nimekuelewa lakin hivyo vitu vyote hamna ndugu yangu, sijui kwanin mods hawanijali jaman, nimewafanyeje? Sasa Kama hivo vitu unavyosema sivioni ni Kosa lako, langu au la mods? Nieleweshe zaidikiongozi wangu
 
Tatizo la Watanzania husoma kichwa cha habari peke yake
Tigo lazima watakata rufaa na siku zote rufaa yaweza kwenda upande wa tigo
Wewe ni mfanyakazi Wa Tigo!? Mbona una uchungu sana au una chuki na akina AY!? Yaani hadi unalazimisha kuwa rufaa yaweza kwenda upande Wa Tigo!
 
Hasara iliyosababishwa ni sawa na hicho kiasi 2.18b wanazodai hao jamaa, tena nadhani hicho kiasi kinaweza kuwa kidogo sana.
Jamaa walikuwa wameomba mahakama walipwe 4.2 billion. Usichezee na Massawe na Kimario kabisa.
 
Reactions: bdo
AY ana shule gani mkuu form four! sema FA ndo angalau yupo na Degree sijui ya nini!
Kwahyo watu wa form four automatically hawajasoma??wewe utakua ndo wale wanaoamini katika degree ya mlimani tu.
 
AY ana shule gani mkuu form four! sema FA ndo angalau yupo na Degree sijui ya nini!
Ndio maana kuna wasomi kwa ajili ya wenye hela kuwatumia. Akina Bakhressa kwani wana ma-degree mangapi!?
 
Nimekuelewa lakin hivyo vitu vyote hamna ndugu yangu, sijui kwanin mods hawanijali jaman, nimewafanyeje? Sasa Kama hivo vitu unavyosema sivioni ni Kosa lako, langu au la mods? Nieleweshe zaidikiongozi wangu
langu... lol
 

Et neno fanatic Lina maana gani?
 
Hakuna ataelipwa hiyo hela
Tutalipishwa sisi wateja wa tigo kwa lazima, kwa mfano kama tigo wanawateja ml 8 nchi nzima, wakatuibia buku buku kila moja biashara itakuwa imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…