Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa.


Rais wa nchi - Tiketi 5,000

Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000

Benki ya NBC - Tiketi 5,000

Benki ya CRDB - Tiketi 5,000

Benki ya NMB - Tiketi 5,000

Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000

Makamu wa YangaSc - Tiketi 500

JUMLA: Tiketi 31,500..

WHY NOT US? '
 
Game inapigwa kwenye dimba la taifa kwa kuwa Yanga haina wa kwake.

Namungo, Azam, wana umri gani vile ukilinganisha na wale wakongwe wawili?

Mambo ya Majaliwa kuokoa wahanga wa ndege haya!
 
Yanga wangekuwa hatua hii kwenye CAFCL wangechangiwa zaidi ya ticket 500,00 kumbe ht 50k hazijafika!!??
Hofyo kabisaaaaaaa hii
Puaaaa
Yanga imewafanya muwehuke haswa mashabiki wa Simba. Yaani mpo hatua mbaya sana ya kurukwa na akili, Sasa tiketi 500,000 mashabiki wakakae kwenye uwanja vipi wakati uwezo wa uwanja ni watu 60,000 pekee?
 
Ingekuwa CAFCL sijui ingekuwaje ,hapo tu ndio kombe la waliofeli[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Rais wa nchi - Tiketi 5,000

Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000

Benki ya NBC - Tiketi 5,000

Benki ya CRDB - Tiketi 5,000

Benki ya NMB - Tiketi 5,000

Mkuu wa Mkoa Dar - Tiketi 1,000

Makamu wa YangaSc - Tiketi 500

JUMLA: Tiketi 31,500..

WHY NOT US? '
hii timu ya kila mtu ndo maana wakaitwa the citizen.. WANANCHIIIII...
 
Back
Top Bottom